WAZIRI MKUU; UPANDAJI RASMI WA MICHIKICHI KUANZA OKTOBA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amesema upandaji wa zao la michikichi utaanza rasmi Oktoba mwaka huu na kama kuna mtu mmoja mmoja au kikundi wanataka kulima chikichi, waandae mashamba yao na miche ya awali watapewa bure.
“Serikal imedhamiria tulime zao hili kwa wingi na tuwasaidie wakulima kwani tunatumia pesa nyingi sana kununua mafuta ya mawese kutoka nje. Tukilima kwa wingi tutajitosheleza na hatutaagiza mafuta kutoka nje.”
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumamosi, Mei 23, 2020) baada ya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMAJALIWA: UPANDAJI RASMI WA MICHIKICHI KUANZA OKTOBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua shughuli za kukuza miche ya michikichi, katika kitalu kilichopo kwenye Gereza la Kwitanga, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma, May 23 2020 ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua kitalu cha miche ya michikichi, katika shamba la Kikosi 821 Buulombora, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma, May 23 2020 ( Picha na...
5 years ago
MichuziUZALISHAJI MBEGU ZA MICHIKICHI UNARIDHISHA -WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua miche ya michikichi wakati alipotembelea kitalu cha mbegu bora zinazooteshwa katika kituo cha utafiti wa zao hilo cha Kihinga kilichopo wilayani Kigoma, Februari 21, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Filson Kagimbo kuhusu uoteshaji wa mbegu bora za michikichi wakati alipotembelea kitalu cha...
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA
9 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MERCK SADICK ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAISLAMU WA AHMADIYYA KUANZA KESHO
Hayo yamesemwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Sheikh Tahir amesema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kukumbushana misingi sahihi ya...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KUANZA ZIARA MKOANI RUVUMA
Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.
Aidha, siku ya jumatatu atakuwa na shughuli za kufungua tawi la Benki ya Posta mjini Songea, kukagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) kanda ya Songea na...
11 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU KUANZA KUFANYA ZOEZI LA KUJIANDAA NA MAAFA
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KESHO KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KIGOMA
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa Waziri Mkuu atawasili Mkoani hapa kesho majira ya saa tatu asubuhi.
Alisema kuwa atapokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali ya Mkoa na kisha atasomewa taarifa ya Mkoa.
Baada ya hapo ataelekea katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu...