WAZIRI MUKANGARA MGENI RASMI FAINALI YA WANAWAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-_ddVOfU7Y4M/VMyoCQDkAyI/AAAAAAAHAfU/zDPXLHYOMB0/s72-c/1574.jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara atakuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya michuano ya Kombe la Taifa Wanawake kati ya Pwani na Temeke itakayochezwa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam.
Mechi hiyo itakayoanza saa 10.15 jioni itachezeshwa na mwamuzi wa FIFA, Jonesia Rukyaa, na itaonyeshwa moja kwa moja na televisheni ya Azam. Waamuzi wasaidizi ni Hellen Mduma, Agnes Alphonce, na Mwanahamisi Matiku wakati Kamishna ni Ingridy Kimario.
Timu za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 Jul
Ridhiwani mgeni rasmi fainali za kuhifadhi Qur’an
MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika fainali ya kumi ya mashindano ya kuhifadhi Qur’an, yanayotarajiwa kufanyika Ijumaa ya wiki hii katika Msikiti wa Manyema, Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wAyutqkUIAU/UvZu7HBE6YI/AAAAAAAFLzE/7A5y5vWEdMM/s72-c/unnamed+(72).jpg)
Waziri Mukangara azindua rasmi mashindano maalum shule za sekondari Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-wAyutqkUIAU/UvZu7HBE6YI/AAAAAAAFLzE/7A5y5vWEdMM/s1600/unnamed+(72).jpg)
10 years ago
MichuziNYAMLANI MGENI RASMI MASHINDANO YA ROBO FAINALI YAKWANZA YA MTEMVU CUP, DAR
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-48tMJw_BoKo/UxXBCtMT1GI/AAAAAAAFRB0/n61nkGfZd-o/s72-c/Camilla+Parker+Bowles+Salma+Kikwete+Camilla+lqfWdI6_K2Nl.jpg)
Mama Salma mgeni rasmi hafla ya wanawake mashuhuri nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-48tMJw_BoKo/UxXBCtMT1GI/AAAAAAAFRB0/n61nkGfZd-o/s1600/Camilla+Parker+Bowles+Salma+Kikwete+Camilla+lqfWdI6_K2Nl.jpg)
Wanawake hao wanakutana chini ya kile kinachoitwa “Connected Women” ya Kampuni ya Vodafone ambapo kupitia hafla hiyo wanawake hao watajadali mchango wa teknolojia ya simu za mkononi na jinsi ilivyobadili maisha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_UUA-4_yy4k/Xl0GdiOhPgI/AAAAAAALgZQ/VQzfVLu3G2UgqXEUimpw-n76MmE3Uih1gCLcBGAsYHQ/s72-c/mama-samia-suluhu..jpg)
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA MKOANI SIMIYU
![](https://1.bp.blogspot.com/-_UUA-4_yy4k/Xl0GdiOhPgI/AAAAAAALgZQ/VQzfVLu3G2UgqXEUimpw-n76MmE3Uih1gCLcBGAsYHQ/s400/mama-samia-suluhu..jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake Mjini Bariadi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema Maadhimisho haya yanaongozwa na kauli Mbiu "Kizazi cha Usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya Sasa na ya ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IDrDK9UhGyQ/VPnWlzmdslI/AAAAAAAHIFA/al0FpJOTSZU/s72-c/MamaKikwete_.jpg)
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE KUWA MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-IDrDK9UhGyQ/VPnWlzmdslI/AAAAAAAHIFA/al0FpJOTSZU/s1600/MamaKikwete_.jpg)
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo [WAMA] anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam .
Akizungumzia maadhimisho hayo leo jijini Dar es salaam , Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar se salaam Mhe. Raymond Mushi amesema kuwa maadhimisho hayo mwaka huu yataongozwa na kauli mbiu isemayo “Uwezeshaji...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BzeBmnv4wJU/UxtnEmo9lbI/AAAAAAAFSJQ/YQyZTOsHDgc/s72-c/unnamed+(38).jpg)
MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOANDALIWA NA 8020 Fashions
![](http://4.bp.blogspot.com/-BzeBmnv4wJU/UxtnEmo9lbI/AAAAAAAFSJQ/YQyZTOsHDgc/s1600/unnamed+(38).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-PqeZWqmKby0/Uxtnn0aHCRI/AAAAAAAFSKQ/G7MASJ9x708/s1600/unnamed+(46).jpg)
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Waziri Mkuu mgeni rasmi Baraza la Eid- ElL-Fitri
Na Hassan Silayo-MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid- ElL-Fitri.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Suleiman Lolila baraza hilo litafanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa kumi kamili alasiri.
Aidha taarifa hiyo imesema kuwa Sikukuu ya Eid-EL-Fitri inatarajiwa kuwa tarehe 28 au 29 julai 2014 kulingana na mwandamo wa mwezi.
Sikukuu...