WAZIRI NYALANDU ASAINI MKATABA NCHINI MSUMBUJI JANA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ELYeooA1CJM/VWVuyz3CjUI/AAAAAAAAuVk/rQd6VL3iAz8/s72-c/1.jpg)
Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa.
Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 May
Waziri Nyalandu asaini Mkataba Msumbijii kulinda Selous
Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji na waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini Celso Coreia, ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa, jana mjini Maputo Msumbiji.
Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ELYeooA1CJM/VWVuyz3CjUI/AAAAAAAAuVk/rQd6VL3iAz8/s72-c/1.jpg)
WAZIRI NYALANDU ASAINI MKATABA MSUMBIJI KULINDA SELOUS
![](http://2.bp.blogspot.com/-ELYeooA1CJM/VWVuyz3CjUI/AAAAAAAAuVk/rQd6VL3iAz8/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UMNVif6xfm0/VWVuxvuthxI/AAAAAAAAuVc/AlQCchtDNZM/s640/6.jpg)
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Riyama Ally Ala Shavu, Asaini Mkataba ‘Mnono’ na Kampuni Kubwa ya Filamu Nchini Kenya
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally amesaini mkataba mnono wa kucheza filamu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu nchini Kenya.
Riyama alisema kuwa amefanya mazungumzo na kampuni hiyo mjini Mombasa na tayari wameshaanza kufanya kazi na kumlipa kitita kinono cha fedha ambacho hakukitaja.
Aidha amesema kuwa wadau wengine wa filamu nchini Kenya wametangaza dau kubwa zaidi ili msanii huyo aweze kucheza tamthilia zinazorushwa kwenye Televisheni mbali mbali nchini humo.
Cloudsfm.com
11 years ago
Uhuru NewspaperZIARA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH. LAZARO NYALANDU NCHINI MAREKANI
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Ramos asaini mkataba mpya
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Jordan Henderson asaini mkataba
10 years ago
VijimamboWAZIRI LAZARO NYALANDU AZUNGUMZIA TETESI ZA KUTANUA NA AUNT EZEKIEL NCHINI MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-rOQZv28JtgI/T4gLSkQwLzI/AAAAAAAAHJE/BksQRWxDToI/s640/1.jpg)
Nyalandu alisema alikwenda Marekani septemba12 kwa ajili ya kufungua tamasha la utamaduni na utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ambako...
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Cahill asaini mkataba mpya Chelsea
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1h7YENt4dAs/U6rgCuJqWRI/AAAAAAACkQw/-sPNgwfC-M0/s72-c/maximo3.jpg)
MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1h7YENt4dAs/U6rgCuJqWRI/AAAAAAACkQw/-sPNgwfC-M0/s1600/maximo3.jpg)
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano hayo...