Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI NYALANDU ASAINI MKATABA MSUMBIJI KULINDA SELOUS

Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa.Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Nyalandu asaini Mkataba Msumbijii kulinda Selous

6 Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano ya  kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji na waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini Celso Coreia, ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa, jana mjini Maputo Msumbiji.

1 (1) Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NYALANDU ASAINI MKATABA NCHINI MSUMBUJI JANA

  Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa. Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano ya  kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu: Hakuna tembo aliyeuawa Selous karibuni

Serikali imesema vita vya kupambana na ujangili vinaonyesha mafanikio katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita na hakuna taarifa za kuuawa kwa tembo katika Pori la Akiba la Selous.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ramos asaini mkataba mpya

Beki wa klabu ya soka ya Real Madrid Sergio Ramos, amesaini mkataba mpya na timu yake

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan Henderson asaini mkataba

Kiungo wa Liverpool Jordan Henderson amesaini mkataba mpya na klabu yake wa miaka mitano wenye thamani ya pauni 100,000 kwa wiki.

 

11 years ago

Michuzi

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.

Kocha mkuu wa zamani wa timu ya Taifa, taifa Stars Marcio Maximo  amesaini mkataba  wa kuwa kocha mkuu na timu ya Yanga kwa muda wa miaka miwili. makubaliano hayo yamefikiwa jana, wakala  anaye mwakilisha Ally Mleh wa kampuni ya Manyara Sports Management amethibitisha hilo.
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya  Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo  atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano   hayo...

 

9 years ago

Bongo5

Producer C9 asaini mkataba wa usimamizi na Panamusiq

C9

Producer wa muziki Charles Francis aka C9 ameasini mkataba wa muda mrefu wa usimamizi na kampuni ya Panamusiq Ltd.

C9

Panamusiq wameandika kwenye taarifa kwa vyombo vya habari:

“Panamusiq is pleased to announce the signing of Tanzanian top producer C9 who has entered a long term management contract with the Dar based music company.”

Producer huyo ameungana na wasanii ambao tayari walikuwa wameingia kwenye usimamizi wa kampuni hiyo akiwemo Feza Kessy na Linah.

Ben Pol naye aliwahi kusaini na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Cahill asaini mkataba mpya Chelsea

Beki wa kati wa timu ya taifa ya England na klabu ya Chelsea Gary Cahill amesaini mkataba mpya wa miaka minne na klabu yake.

 

9 years ago

Bongo5

T.I. asaini mkataba mnono na Warner Bros Television

Kampuni ya Warner Bros Television imemsainisha mkataba rapper T.I. Kupitia mkataba huo, studio hizo zitatengeneza series mpya kwaajili ya rapper huyo na pia kumuingiza kwenye miradi mingine inayoendelea. Kwenye televisheni, T.I. amewahi kuigiza kwenye tamthilia ya House Of Lies ya Showtime na Boss ya Starz. Hivi karibuni alimaliza kutayarisha msimu wa tano wa reality show […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani