Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu: Hakuna tembo aliyeuawa Selous karibuni

Serikali imesema vita vya kupambana na ujangili vinaonyesha mafanikio katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita na hakuna taarifa za kuuawa kwa tembo katika Pori la Akiba la Selous.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bado tembo wanakwisha Selous

Miongoni mwa vitu ambavyo taifa inalitegemea katika kuongeza mapato ni utalii. Lakini sasa hakuna wanyama.

 

10 years ago

GPL

MEMBE: HAKUNA MTANZANIA ALIYEUAWA AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Bernard Membe akitoa tamko. …Akisisitiza jambo. Sehemu ya wanahabari na wageni wengine waliofika kwenye hafla hiyo. WAZIRI wa  Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard…

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Nyalandu asaini Mkataba Msumbijii kulinda Selous

6 Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano ya  kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji na waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini Celso Coreia, ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa, jana mjini Maputo Msumbiji.

1 (1) Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NYALANDU ASAINI MKATABA MSUMBIJI KULINDA SELOUS

Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa.Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini

Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni.

 

11 years ago

Mwananchi

Nyalandu: Majangili wazidi kuua tembo

>Serikali imesisitiza kurejea kwa Operesheni Tokomeza Ujangili, ikitangaza kuwa tembo 13,000 tu ndio waliosalia katika Mbuga za Wanyama za Selous na Mikumi ambapo wanyama hao wamepungua kwa asilimia 66, sababu kubwa ikiwa ni ujangili.

 

10 years ago

Michuzi

TEMBO KUTOWEKA TANZANIA MIAKA 10 IJAYO - NYALANDU

DSC_0089Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi za kijamii ukiwa na lengo la ushirikishaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa wanyamapori uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mpingo House uliopo Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.DSC_0135Naibu Waziri wa Maliaisli na Utalii, Mahmoud Mgimwa akitoa salamu kwa wadau wa taasisi za kirai. Kushoto Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tembo kutoweka Tanzania miaka 10 ijayo — Nyalandu

DSC_0089

Pichani juu na chini ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi za kijamii ukiwa na lengo la ushirikishaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa wanyamapori uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mpingo House uliopo Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewji blog).

Na Modewji blog team

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani