Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI UMMY AWATAKA WANAWAKE KUCHANGAMIKIA FURSA


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezindua maonesho ya wajasiriamali na huduma na kuwataka wakazi wa Simiyu kujitokeza kuchangamkia fursa hasa wanawake ili kujikwamua kiuchumi.

Ameyasema hayo leo wakati akifungua maonesho ya wanawake wajasiriamali na kuupokea msafara wa kijinsia ukizunguka katika katika mikoa tisa kutoa elimu ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Waziri Ummy amefungua maonyesho hayo ikiwa ni kuelekea kilele cha maadhimisho ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Corona imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya nchini’: Waziri Ummy










**********************************

Na.WAMJW, Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwapo kwa ugonjwa wa Corona nchini, imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya katika vituo mbalimbali vya afya hapa nchini.

Michango mbalimbali iliyotolewa zikiwamo vifaa na vifaa tiba zimesaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha huduma za afya na kuokoa maisha kwa wagonjwa mahututi.

Waziri wa afya Ummy Mwalimu ameyasema hayo wakati akizindua upanuzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AWATAKA WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA

Habari na picha na Ismail Ngayonga - MAELEZOSERIKALI imewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kufikia malengo yaliyowekwa. Hatua hiyo inaelezwa itasiaidia kurahisisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi kwa kutoa huduma bora na zinazofikiwa kwa wakati. Akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

 

11 years ago

Mwananchi

Naibu waziri awataka wanawake kuacha woga

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amewataka wanawake nchini kuacha woga na kujibweteka badala yake wabadilike, wajijengee uwezo na kujitokeza katika fursa mbalimbali za kuwania uongozi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Ummy awataka halmashauri kudhibiti upoteaji wa dawa

ummy-Jaffo 031

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akisaini kitabu cha wageni kwenye Ukumbi wa Mkuu wa mkoa. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora), Seleman Jaffo.

ummy-Jaffo 047

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongea na Uongozi wa Mkoa wa Tanga, Waziri Ummy yupo mkoani hapa kwenye ziara ya kikazi sehemu ya afya na wazee.

ummy-Jaffo 040

Waziri Ummy amesisitiza halmashauri zote kudhibiti na kuokoa dawa pamoja na vifaa tiba ili...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

Kitwanga awataka Watanzania kujifunza fursa Sekta ya Madini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Charles Kitwanga, akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kuimarisha ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini unaofanyika jijini MwanzaBaadhi wa washiriki wa mkutano wa kuimarisha ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga anayeshughulikia Nishati (hayupo pichani).Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Migodi Mhandisi Ally...

 

5 years ago

Michuzi

DC MASASI AWATAKA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA NBC BIASHARA CLUB

 MKUU wa Wilaya ya Masasi, Selemani Mzee ameunga mkono jitihada zinazofanywa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)  kwa kuwakutanisha wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa.
Mzee amesema, Kuanzishwa kwa NBC Biashara Club liwe ni  ni zoezi endelevu ili liweze kuleta tija katika mkoa wa Masasi.
Ameongeza kusema kuwa, kadri watakavyo hudumia wafanyabiashara ndivyo watakavyozidi kuleta fedha kwenye benki. 
"Wafanyabiashara wa Masasi wawe makini nkuchangamkia fursa zinazojitokeza ili muweze...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA ZITOLEWAZO NA AFRIKA MASHARIKI

WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine.
Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Namanga.
Lowassa alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za Afrika Mashariki kama ilivyo kwa Kenya.
"Napenda mahusiano ya Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani