Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA AFYA MH. SEIF RASHIDI AZINDUA RASMI GHETTO RADIO KATIKA HOSIPITALI YA TEMEKE JIJINI DAR.‏

Waziri wa Afya Mh. Seif Rashid akiongea na wauguzi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke, wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm pamoja na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi rasmi wa radio hiyo, ambayo lengo lake ni kuwakomboa vijana wa mtaani pamoja na vipindi vingine vya kuelimisha jamii na burudani, pia amewashukuru kwa kutoa msaada wa vifaa mbalimbali ambavyo vitasaidia katika Hospitali hiyo jana tarehe 1.11.2014.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Afya Mh. Seif Rashidi azindua rasmi Ghetto Radio katika hosipitali ya Temeke Jijini Dar

Waziri wa Afya Mh. Seif Rashid akiongea na Wauguzi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke, Wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm pamoja na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi rasmi wa Radio hiyo, ambayo lengo lake ni kuwakomboa vijana wa mtaani pamoja na vipindi vingine vya kuelimisha Jamii na Burudani, Pia amewashukuru kwa kutoa msaada wa vifaa mbalimbali ambavyo vitasaidia katika Hospitali hiyo Tarehe 1.11.2014

 

Mkurugenzi wa Sibuka George Ndagali akizungumza wakati wa hafla ya...

 

10 years ago

Vijimambo

AZIRI WA AFYA MH. SEIF RASHIDI AZINDUA RASMI GHETTO RADIO KATIKA HOSIPITALI YA TEMEKE JIJINI DAR.

Waziri wa Afya Mh. Seif Rashid akiongea na Wauguzi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke, Wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm pamoja na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi Rasmi wa Radio hiyo, ambayo lengo lake ni kuwakomboa vijana wa Mtaani pamoja na vipindi vingine vya kuelimisha Jamii na Burudani, Pia amewashukuru kwa kutoa msaada wa vifaa mbalimbali ambavyo vitasaidia katika Hospitali hiyo leo Tarehe 1.11.2014 Mkurugenzi wa Sibuka George Ndagali akizungumza wakati wa hafla ya...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA AFYA, DR. SEIF, AZINDUA KITUO CHA MATIBABU YA SARATANI HOSPITALI YA AGA KHAN‏

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dk. Seif Seleman Rashid akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza katika Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliohudhuriwa na mtoto kutoka familia ya familia ya Aga Khan, Zahra ulifanyika katika ukumbi uliopo hospitalini hapo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid (kulia) akibadilishana mawazo na mtoto...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF yafanya afya bonanza katika Wilaya ya Temeke,jijini Dar

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema akihutubia wananchi wa Manispaa hiyo (hawapo pichani) katika uzinduzi wa Afya Bonanza linalofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kupima afya bure wananchi kwenye viwanja vya Mwembe Yanga. Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akitoa maelezo ya utangulizi kwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bonanza hilo. Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizindua rasmi zoezi la upimaji afya.  Bi. Sophia Mjema naye akipima...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua rasmi kituo cha magonjwa ya Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar

h1

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi jana April 27, 2014.

h2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA DKT SEIF RASHID AZINDUA KONGAMANO LA TISA LA NHIF NA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA LEO.

Pichani juu na chini ni Mgeni rasmi Waziri wa Afya,Dkt.Seif Rashid akizungumza wakati wa kuzindua kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo kauli mbiu ya kongamano hilo ni ''Tanzania na Huduma bora za matibabu inawezekana''.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Bwa.Hamisi Mdee  akizungumza katika kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani