Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO AKUTANA NA BALOZI WA MALAWI ZANZIBAR.

  Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk  akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Hawa O. Ndilowe wakati alipowasili Ofisini kwake kwaajili ya kujitambulisha pia na kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusuUtalii Zanzibar. Afisa Ubalozi anaeshughulikia masuala ya Uchumi Tanzania Chinvano Kapeleta akizungumzia masuala ya Uchumi na Utalii na Viongoizi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar. Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO WA ZANZIBAR AKUTANA NA WANAFUNZI NA WALIMU WACHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC) Rashid Omar akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katika mkutano na Wanafunzi wa chuo hicho ngazi ya Diploma na Sataficate katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar. Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk hayupo pichani wakati akitoahotuba kwa wanafunzi haokatika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO AKUTANA NA WENYE MAHOTELI ZANZIBAR.

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akizungumza na Wamiliki wa Mahoteli pamoja Wenye kusambaza Bidhaa katika Mahoteli ili kutatua matatizo yao huko katika ukumbi wa Wizara ya Habari Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI , UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR AZINDUA HOTELI TAUSI Palace, MJI MKONGWE ZANZIBAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk (kulia) akiwa na mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class Group Tanzania Rustam Merani wakingia katika Hoteli yao mpya ya Tausi Palace iliyopo Shangani Mjini Zanzibar. Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk  akikata utepe akiwa na mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class Group Tanzania Rustam Merani. Mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO KIPYA CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)

Chumba cha mitambo ya kurushia matangazo (Transmitter) kilichopo katika Kituo cha Bungi, Unguja. Fundi mkuu wa kituo hicho Nd. Ali Aboud Talib akitoa maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk wa kushoto.…

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar atembelea kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).

Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar  Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk amesema zaidi ya shilingi milioni 100 za Kitanzania zinahitajika ili kukamilisha ujenzi wa kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).  Hayo ameyasema wakati wa ziara yake ya kutembelea kituo hicho kilichopo Bungi Wilaya ya Kati Unguja. Amesema lengo la ziara hiyo ni kuangalia ufanisi wa kazi kwa watendaji wa kituo hicho na kusisitiza kuwa ni...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura atembelea Idara ya habari


 Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo vina lengo vya...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, wasanii na Michezo afanya ziara TSN

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisoma gazeti lenye kurasa za matangazo alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki.Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani