WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO AKUTANA NA WENYE MAHOTELI ZANZIBAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-LYSt1nPJ9Us/U9-LGjNtoGI/AAAAAAAF9Ak/FT9SonwqBlw/s72-c/unnamed.jpg)
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akizungumza na Wamiliki wa Mahoteli pamoja Wenye kusambaza Bidhaa katika Mahoteli ili kutatua matatizo yao huko katika ukumbi wa Wizara ya Habari Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO WA ZANZIBAR AKUTANA NA WANAFUNZI NA WALIMU WACHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBAR
10 years ago
MichuziWAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO AKUTANA NA BALOZI WA MALAWI ZANZIBAR.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7_nSzbKywc/VZMCKvS9f5I/AAAAAAAHmB8/nC6Gb_cdMqI/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI , UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR AZINDUA HOTELI TAUSI Palace, MJI MKONGWE ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7_nSzbKywc/VZMCKvS9f5I/AAAAAAAHmB8/nC6Gb_cdMqI/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-U5CLJQSXo7k/VZMCKg8VgvI/AAAAAAAHmCE/s-pY3yj9QQA/s640/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-DX6J-2SWxb8/VZMCKl4ZIpI/AAAAAAAHmCA/DMhzE4etUjc/s640/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wyK9bAs*AkU13ustQYQE0-HtFTdioX3twxfGLJfJeChBQfsrIZOwtXCdgKcjBngG6rUbWJGnJyec5qL3tiQijDvqhyvwzyBO/unnamed25.jpg?width=650)
WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO KIPYA CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)
Chumba cha mitambo ya kurushia matangazo (Transmitter) kilichopo katika Kituo cha Bungi, Unguja. Fundi mkuu wa kituo hicho Nd. Ali Aboud Talib akitoa maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk wa kushoto.…
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hKOamXp0zn4/VO09qHmpgkI/AAAAAAAHFvQ/kWhx-hjJfMI/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar atembelea kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).
Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk amesema zaidi ya shilingi milioni 100 za Kitanzania zinahitajika ili kukamilisha ujenzi wa kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC). Hayo ameyasema wakati wa ziara yake ya kutembelea kituo hicho kilichopo Bungi Wilaya ya Kati Unguja. Amesema lengo la ziara hiyo ni kuangalia ufanisi wa kazi kwa watendaji wa kituo hicho na kusisitiza kuwa ni...
11 years ago
GPLWAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-J9tJCEu9g1M/VoK6KO6OkUI/AAAAAAAIPRc/hsYBlaS73EE/s72-c/20bd1106-336b-41a1-a14d-f0992c614b40.jpg)
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura atembelea Idara ya habari
![](http://1.bp.blogspot.com/-J9tJCEu9g1M/VoK6KO6OkUI/AAAAAAAIPRc/hsYBlaS73EE/s640/20bd1106-336b-41a1-a14d-f0992c614b40.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-cEhUKvtgqVY/VoK6LtWw12I/AAAAAAAIPRo/jqpAeLsh80Q/s640/572747c3-76ca-4dbd-a528-0734509e433a.jpg)
9 years ago
Michuzi14 Dec
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo afanya ziara TBC na BASATA.
![nap1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/nap1.jpg)
![nap2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/nap2.jpg)
![nap4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/nap4.jpg)
Waziri wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania