Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Kikwete agaragazwa uenyekiti wa mtaa

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, ameangushwa na Kimwei Mhita (27) katika kinyang’anyiro cha kura za maoni za kumtafuta Mwenyekiti wa Mtaa wa Masaki atakayewakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Waziri huyo ambaye alikuwa anatetea kiti hicho ambacho ameshikilia kwa muda mrefu, amejikuta akiangushwa mwishoni mwa wiki na mwanasiasa huyo kijana ambaye hana umaarufu mkubwa katika medani ya siasa za chama hicho akilinganishwa na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Said Fela agombea uenyekiti wa serikali za mtaa

Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fela anawania uenyekiti wa serikali za katika mtaa wa Kirungure, wilayani Temeke kupitia CCM. “Leo wadau naomba dua zenu nagombea serikali ya mtaa uku kwetu kirungule na nipo na mgombea mwenzangu ndio tunagombania hiki kiti apate yeye au nibebe Mimi inshaallah,” ameandika Fela kwenye Instagram.

 

10 years ago

Michuzi

Mgombea wa Nafasi ya Uenyekiti Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya CCM arudisha fomu

Mwenyekiti Mteule katika Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,Ndg. Zefrin Lubuva (kulia) akirejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi,Bi. Vicky Mwakasonda katika ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Oysterbay,jijini Dar es Salaam jana.Mwenyekiti Mteule katika Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,Ndg. Zefrin Lubuva akisaini fomu mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi,Bi. Vicky Mwakasonda wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo  jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

 “Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...

 

10 years ago

Vijimambo

Naibu Waziri akutana na mgombea uenyekiti wa IPCC na Balozi wa Comoro nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungumza na Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti kwenye Kundi la Wataalam chini ya Umoja wa Mataifa linaloshirikisha wadau kutoka sekta ya umma na binafsi kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi-Intergovernmental Panel on Climate Change-IPCC, Prof. Jean-Pascal Van Ypersele kutoka Ubelgiji ambaye alifika Wizarani kwa ajili ya kumsalimia Mhe. Maalim. Katika mazungumzo yao Prof. Ypersele alielezea dhamira...

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani