Waziri Wasira awahimiza wawekezaji kuharakisha mchakato wa kuanza kuunganishwa matrekta hapa nchini

Na Issa Sabuni, WKCU Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya muhimu katika kuhakikisha Tanzania inaongeza tija na uzalishaji katika kilimo lakini pia inapunguza matumizi ya jembe la mkono. Waziri Wasira alipongeza hatua hiyo, mara baada ya kukutana na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.


Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...
10 years ago
Michuzi
Matrekta mapya kuunganishwa nchini badala ya kuagiza yaliyounganishwa tayari


10 years ago
Michuzi
WASIRA AWAHIMIZA WAKAZI WA MTWARA KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA MAZAO YA KILIMO NA UVUVI


Na Woinde Shizza
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira,amewahimiza wakazi wa Mtwara kuwekeza katika uzalishaji wa mazao ya kilimo na uvuvi ikiwa ni sehemu ya shughuli za kiuchumi zitakazowanufaisha kutokana na...
10 years ago
Michuzi
WAZIRI WASIRA AELEZEA HALI YA CHAKULA NCHINI

10 years ago
Michuzi
Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani nchini Poland
Pamoja na mambo mengine, ziara hii inahusu Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta ya Ursus na Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi chakula chini ya NFRA.
Katika ziara hiyo Mhe. Wasira ameambatana na Mkuu wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa, pamoja na Maofisa wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na SUMA JKT.

5 years ago
MichuziMGALU AITAKA EWURA KUHARAKISHA UANDAAJI KANUNI KWA WAWEKEZAJI BINAFSI WA UMEME
Hafsa Omar-PwaniNAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) kuharakisha uandaaji wa kanuni ambazo zitatumika kudhibiti bei za umeme ambazo zitatumiwa na wawekezaji binafsi wa umeme nchini.
Ameyasema hayo, Februari 20,2020 wakati alipokuwa akijibu maswali mbalimbali ya wananchi ambao walikuwa wakilalamikia bei kubwa ya umeme wanaotozwa na Mkandarasi wa kampuni ya Husk Power iliyopo katika kijiji cha Matipwili kata Mkange, Wilaya ya...
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI NCHINI POLAND



5 years ago
Michuzi
WAZIRI KAIRUKI AWATOA HOFU WAWEKEZAJI NCHINI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akioneshwa na kupewa maelezo kuhusu mtambo wa kuzalisha mvinyo kutoka kwa Mhandisi wa Kemikali na Mchakato tija wa kiwanda hicho, Daniel Mollel wakati wa ziara yake katika kiwanda cha kuzalisha mvinyo cha DOMIYA.

10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Ipitie Hotuba ya kuanza rasmi kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandao hapa nchini
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (Mb), akiongea na waandishi wa habari kuhusu kuanza kutumika rasmi kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao na ya Miamala ya Kieletroniki za mwaka 2015. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bwana John Mngodo
Ndugu Wandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana,
Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa...