Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WASIRA AELEZEA HALI YA CHAKULA NCHINI

 Mheshimiwa Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo Chakula na ushirika akizungumza na Waandishi wa Habari leo kuhusu hali ya chakula nchini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi Sophia Kaduma.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akizungumza na  Bwana Karol Zarajczyk, ambaye ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
 Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 - 1963.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA HALI YA CHAKULA MKOANI RUVUMA


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi nchini.
Akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali jana jioni (Jumapili, Januari 3, 2016) katika ukumbi uliopo Ikulu ndogo Songea, Waziri Mkuu  ameutaka  uongozi wa mkoa kuhakikisha kuna  upatikanaji wa masoko kwa mazao mbalimbali pamoja na kuendelea kutoa msukumo kwa wananchi.
Pia, ameupongeza uongozi  wa mkoa huo kwa kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani nchini Poland

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira, yuko nchini Poland kwa ziara ya kikazi aliyokaribishwa na Waziri Wa Kilimo wa nchi hiyo Marek Sawicki.
 Pamoja na mambo mengine, ziara hii inahusu Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta ya Ursus na Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi chakula chini ya NFRA. 
Katika ziara hiyo Mhe. Wasira ameambatana na Mkuu wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa, pamoja na Maofisa wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na SUMA JKT.Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA TATHMINI YA HALI YA CHAKULA NA LISHE MKOANI SIMIYU

Bw. Clement Ngosha wa kijijini Kabita Wilayani Busega, Simiyu, akitumia mbegu za mahindi kueleza hali ya chakula kijijini hapo kwa wataalam wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Oktoba, 2014. Mtaalam wa Usalama wa chakula kutoka Wizara ya kilimo, chakula na Ushirika, Bi. Tatu Kayumbu akiihoji moja ya kaya kijijini Mwamanyili,Wilayani Busega, Simiyu wakati wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu kijijini hapo, ...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Wasira awahimiza wawekezaji kuharakisha mchakato wa kuanza kuunganishwa matrekta hapa nchini

Na Issa Sabuni, WKCU Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya muhimu katika kuhakikisha Tanzania inaongeza tija na uzalishaji katika kilimo lakini pia inapunguza matumizi ya jembe la mkono. Waziri Wasira alipongeza hatua hiyo, mara baada ya kukutana na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKISOMA HALI YA UCHUMI NCHINI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiwasilisha hali ya uchami nchini, Bungeni jijini Dodoma. Juni 11, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

BBCSwahili

Hujaji aliye Mecca aelezea hali ilivyo

Sheikh Abou Said Abdallah Chambea kutoka Tanzania ambaye yuko mjini Mecca anasimulia kuhusu hali ilivyo huko.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA, MHE. CHIZA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, MS. DIANNA MELROSE

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akifanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini, Bibi Dianna Melrose. Balozi huyo alimtembleza Waziri Chiza ofisini kwake kwa lengo la kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili yenye lengo la kukuza Sekta ya Kilimohususan kwenye eneo la uwekezaji katika mashamba makubwa(Picha na Issa Sabuni, WKCU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani