Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani Poland

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira, yuko nchini Poland kwa ziara ya kikazi aliyokaribishwa na Waziri Wa Kilimo wa nchi hiyo Marek Sawicki. Pamoja na mambo mengine, ziara hii inahusu Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta ya Ursus na Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi chakula chini ya NFRA. Katika ziara hiyo Mhe. Wasira ameambatana na na Mkuu wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa, pamoja na Maofisa wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na SUMA JKT.Waziri...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani nchini Poland

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira, yuko nchini Poland kwa ziara ya kikazi aliyokaribishwa na Waziri Wa Kilimo wa nchi hiyo Marek Sawicki.
 Pamoja na mambo mengine, ziara hii inahusu Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta ya Ursus na Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi chakula chini ya NFRA. 
Katika ziara hiyo Mhe. Wasira ameambatana na Mkuu wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa, pamoja na Maofisa wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na SUMA JKT.Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NA UJUMBE WAKE ZIARANI NCHINI SINGAPORE

luk1Ujumbe wa Tanzania chini ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ukionyesha namna Serikali ya Singapore inavyoratibu upatikanaji wa nyumba kwa wananchi wake ulipotembelea Bodi ya Maendeleo ya Nyumba ya Singapore jana.Jumla ya nyumba 900,000 zimeshajengwa na Bodi hii na kupatiwa wananchi kupitia ruzuku ya serikali na nyumba 50,000 zinapangishwa kwa wananchi kwa kodi isiyozidi asilimia 5. Taifa la Singapore lina watu milioni 5.4 na asilimia 99 ya watu wan chi hiyo wamewezeshwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akizungumza na  Bwana Karol Zarajczyk, ambaye ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
 Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha Tanzania na ujumbe wake wakutana na MD wa Afrika Group na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia

DSC_5293

Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati  akiandika maelezo na hoja kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrika Group 1 Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile na kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na akifuatiwa  na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania  Bi. Natu Mwamba.

DSC_5299

Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN NA UJUMBE WAKE IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya (kulia kwake) aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 01, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Fedha na ujumbe wake wakutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiandika maelezo na hoja kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrika Group 1 Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na akifuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA NCHI MAENDELEO NA FRANCOPHONIE WA UFARANSA NA UJUMBE WAKE, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Ofisini kwake Waziri wa Nchi Maendeleo na Francophonie wa Ufaransa Mhe. Annick Girardin, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 09, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Nchi Maendeleo na Francophonie wa Ufaransa Mhe. Annick Girardin aliyeongoza ujumbe wa watu tisa, wakati alipofika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani