Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI ZUNGU AKAGUA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA KORONGO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu mwishoni mwa wiki amefanya ziara ya kikazi wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma kukagua athari zilizosababishwa na korongo kubwa kando ya Mto Shaban Robert. 
Akizungumza wakati wa ziara hiyo aliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kufanya tathmini ya haraka kupata ufumbuzi wa tatizo hilo ili kunusuru wananchi kuzingirwa na maji yanayojaa katika mto huo. 
Waziri Zungu alisema pamoja na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU ATEMBELEA KISIWANI PEMBA KUJIONEA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABINCHI


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu amaeahidi kupeleka Wataalamu wa mazingira  kwa ajiili ya kufanya tathmini  katika eneo la Kwamgogo lililopo Kisiwani Pemba ambalo limeathirika na mabadiliko ya tabianchi. Amesema hayo kisiwani Pemba alipotembelea eneo hilo kujionea athari za kimazingira zilizosababishwa na mabadiliko ya tabinchi. 
Ameongeza kuwa lazima jitihada za haraka zichukuliwe katika eneno hilo ili kuweza kuepusha kisiwa cha Pemba...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Zungu akagua bwawa la kuhifadhi tope sumu (TFS) Mgodi wa Barrick North Mara


 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu hii leo amekagua bwawa la kuhifadhia tope sumu katika Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara.

Waziri Zungu ameambatana na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula, Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC Prof. Esinati Chaggu pamoja na watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Wakati wa ukaguzi huo Waziri Zungu amewashauri watendaji...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali  Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga , wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya...

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AKAGUA BWAWA LA KUHIFADHI TOPE SUMU (TFS) MGODI WA BARRRICK NORTH MARA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu hii leo amekagua bwawa la kuhifadhia tope sumu katika Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara.
Waziri Zungu ameambatana na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula, Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC Prof. Esinati Chaggu pamoja na watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Wakati wa ukaguzi huo Waziri Zungu amewashauri...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA ATHARI ZA MOTO KATIKA HOTELI YA KITALII YA KARAFUU BEACH RESORT

Baadhi ya Majengo ya Haoteli ya Karafuu Beach Resort Spa ya Michamvi yaliyoungua kwa moto usiku wa kuamkia juzi na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.Bwawa la Hoteli ya Karafuu Beacha Resort Spa likionekana kuathirika na moto ulioikumba Hoteli hiyo juzi alfajiri.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kafaruu Beach Resort Spa Bwana Zakaria Juma wakiangalia baadhi ya majengo yaliyoteketea kwa moto juzi alfajiri.Maneja wa Hoteli ya Karafuu Beach Resort Bwana...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA WADAU WA NISHATI MBADALA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea na ujumbe kutoka Oryx gas Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaamikiwa ni maongezi juu matumizi ya gesi katika kupunguza wimbi la ukataji miti.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Burn Stove kutoka Kenya ambao walimtebelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaam ikiwa ni kwa ajili...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA WAZIRI ZUNGU KUHUSU SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akisoma tamko juu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, mbele ya waandishi wa Habari hii leo Jijini Dodoma. Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kwa kutumia vyombo vya habari bila kuwapo kwa mikusanyiko.
TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO NA MAZINGIRA JUU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Ndugu Wananchi,Kila tarehe 5 Juni, nchi yetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani