Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…

Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida duniani kote. Najua weekend inaweza ikaboa kama utakosa mahala pazuri pakwenda kuenjoy na kufurahia. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee ratiba ya michezo 26 mikali ya soka itakayochezwa weekend ya December 19 na 20 kwa […]

The post Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania… appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January 3. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 […]

The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3…

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 na […]

The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Ligi Kuu Tanzania na Uingereza watafungua zawadi za Chrismass kwa michezo 16 Dec 26 na 27 …

Ikiwa bado watu wapo katika shamrashamra za sikukuu ya Chrismass, sio vibaya nikukupa taari za wapi ukafungulie zawadi zako za Chrismass siku ya Jumamosi ya December 26 Boxing Day au hata Jumapili ya December 26. Najua weekend itakuwa ndefu sana mtu wangu ila sio tatizo, naomba nikusogezee ratiba ya mechi kali za soka za Ligi […]

The post Ligi Kuu Tanzania na Uingereza watafungua zawadi za Chrismass kwa michezo 16 Dec 26 na 27 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Africanjam.Com

STEVEN GERRARD NA FRANK LAMPARD KUIAGA LIGI YA UINGEREZA WEEKEND HII

Vitabu vya historia vya ligi kuu ya England hususan timu za Chelsea na Liverpool vinatarajia kufungwa mwishoni mwa wiki hii wakati ambapo wachezaji wawili wa zamani wa timu ya taifa ya England watakapokuwa wanazichezea klabu zao kwa mara moja ya mwisho .Frank Lampard ambaye anacheza kwa mkopo kwenye klabu ya Manchester City toka klabu ya New York City Fc iliyomsajili toka Chelsea na mwenzie Steven Gerard wa Liverpool wanatarajiwa kupunga mkono wa kwaheri kwa ligi kuu ambapo watakuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa mwenendo huu, michezo haitafanikiwa Tanzania

Kuondolewa kwa timu ya taifa ya netiboli kwenye harakati za kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki fainali za Kombe la Dunia ni mwendelezo wa matukio ya kusikitisha yanayoendelea kuzikumba timu za taifa za Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani