Wema: Niacheni nipumzike na mimi ni binadamu
Mwigizaji Wema Sepetu amewataka watu wanomsakama kwa maneno waache apumzike kufanya hivyo kwani yeye ni binadamu kama ilivyo kwa wengine na anaumia kama wanavyoumia wengine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Wastara: Na mimi pia ni Binadamu.....
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ameyasema hayo jana kupitia ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha akiwa yupo mzigoni .
“Nafanya kile nachojickia kufanya na ninapofanya nahakikisha nafanya kwa juhudi na vizuri zaidi, Hisia za maumivu zinaweza kunifunga mdomo nikakosa la kuongea ila machoni ntaliaaaaa,,Najaribu kufanya kila zuri kulinda heshima na utu wangu ni vema kujua mimi pia kuna muda nakula,nalala,naoga pia kuna mazuri na mabaya katika jamii inayonizunguka tofauti na...
10 years ago
Bongo Movies18 Apr
Wema : Diamond Anakinyongo na Mimi!
Akiongea redioni kwenye kipindi cha Ubaoni cha EFM hapo jana , Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu alisema kuwa hana kinyongo na aliekuwa mpenzi wake, Diamond ambae ni staa wa Bongo Fleva, ila Diamond ndiye bado ameendelea kuwa na kinyongo naye.
Wema alisema kuna siku alimtumia ujumbe wa simu Diamond kumpa pole kwa kumuuguza mama yake lakini alimchunia.
“Tumeshaachana kwanini tuwekeane grudges,?”alihoji Wema kwenye kipindi hicho. “Tulikuwa pamoja lakini tumeachana kwanini tuwekeane...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mimi na Wema ndiyo tunajua ukweli
10 years ago
Bongo Movies18 Dec
DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi
Akizungumza kwenye kipindi cha Live Chumba cha Habari kinachorushwa na Global TV online, Msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alieleza jinsi wapenzi wake wazamani ambao ni Mwigizaji Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na matangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Diamond alifunguka baada ya kuulizwa kwamba amekuwa akitangaza kupenda watoto lakini kwa nini hana hata wa dawa licha ya kuwa na uhusiano na wanawake tofoutitofauti.
Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOjgcJcGjYDq8QNwsmaBhjRzjGo6W6ftiTsQdXibFV6QuGzbDwx9qiEr3a5Uy4nVcCXIBeGBOlS6L0f9jtR-BUFx/wpidwema_sepetu712.jpg?width=650)
WEMA; HATA MIMI NINGEKUWA AUNT EZEKIEL NINGEGOMBANA NA WEWE
10 years ago
Bongo Movies09 Mar
Wimbo wa “Ntampata Wapi”, Diamond Hakuniimbia Mimi- Wema Sepetu
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ametoboa kuwa wimbo wa “Ntampata Wapi” ulioimbwa na aliekuwa mpezi wake, Diamond Platnumz hakuimbiwa yeye, hii ni kutokana na watu wengi kudhani kuwa wimbo huu alitungiwa yeye ukizingatia kuwa wakati wimbo huo unatoka ndio kilikuwa kipindi wametoka kuachana.
“Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi….because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiindika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya...
10 years ago
Bongo525 May
Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala
10 years ago
Bongo Movies25 May
Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...
10 years ago
Bongo Movies13 Mar
Ommy Dimpoz:Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema
Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo.
Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.
“Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna...