Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wembley Don yavurugwa

Mkurugenzi wa uwanja wa Wembley Don Roger Maslin anausikitiakia uwanja wake kwa jinsi ulivyovurugwa na wacheza Ragby..

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wembley kuandaa Euro 2020

Uwanja wa Wembley ni miongoni mwa viwanja vitakavyoandaa mechi za Euro

 

10 years ago

Vijimambo

Kocha apinga Football ya Marekani ,Wembley

Kocha wa timu ya soka ya England Roy Hodgson amehoji uamuzi wa chama cha soka nchini humo FA kuruhusu mechi ya mchezo wa Football ya marekani kuchezwa kwenye uwanja wa Wembley siku sita tu kabla ya mapambano ya soka kuwania kufuzu katika fainali za kombe la Ulaya kati ya England na Slovenia

Mchuano wa jumapili hii kati ya Jacksonville Jaguars na Dallas Cowboys ni wa tatu kuchezwa katika huo mwaka huu.


Hodgson analalamika kuwa mchezo wa Football ya marekani unaharibu uwanja na hivyo kuna...

 

10 years ago

Africanjam.Com

MASHARTI WALIYOPEWA CHELSEA KUHAMIA WEMBLEY STADIUM

Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Chelsea, inatarajia kutumia uwanja wa Wembley kwa muda ili kupisha marekebisho ya uwanja wao wa Stamford Bridge.
Chelsea itapewa uwanja wa Wembley kama itakidhi vigezo vilivyotolewa na uongozi husika wa uwanja huo ikiwemo kuhakikisha mashabiki watakaoingia uwanjani hawapungui elfu 50. Mchakato wa marekebisho ya Stamford Bridge yalianza mwaka mmoja uliopita chini ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Ibramovich, lengo kuu likiwa ni kuongeza viti ili...

 

9 years ago

Dewji Blog

Klabu ya mchezo wa draft Wembley manispaa ya Singida, yaendesha shindano la kugombea Mbuzi

IMG_1833

Diwani wa kata ya Kisaki (CCM) manispaa ya Singida, Mosses Ikaku (kushoto) akimkabidhi Rajabu Nkungu zawadi ya Beberu la Mbuzi, kilo 10 za mchele na kreti ya soda, baada ya kuwa mshindi wa kwanza kwenye shindano la draft lililoshirikisha wachezaji 86. Shindano hilo liliandaliwa na kufadhiliwa na klabu ya draft ya Wembley ya mjini hapa. IMG_1849 Baadhi ya wanachama wa klabu ya wachezaji wa draft ya Wembley wakicheza mchezo wa draft. IMG_1855 Baadhi ya wanachama wa klabu ya wachezaji wa draft ya Wembley...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani