Wenger ashindwa kueleza sababu za kumuacha Cech
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Arsenal kupokea kichapo cha mabao 3-2 katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya dhidi ya
Olympiacos, kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger ameshinda kueleza sababu za kumueka benchi kipa namba moja Petr Cech na kumpa nafasi David Ospina.
Huo ulikuwa ni mchezo wa pili Arsenal inapoteza katika michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa, ambapo katika mchezo
wa awali klabu hiyo ilikutana na Dinamo Zagreb na kuchezea kichapo cha mabao 2-1.
Hata hivyo, baada ya kumalizika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Wenger amsifu sana kipa Petr Cech
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eSImuHf-FM0/U54ZDPbs24I/AAAAAAAFq7E/OPDW-WrUdPs/s72-c/article-2658454-1EBE4D1000000578-560_634x861.jpg)
Cesc Fabregas afunguka, asema Nimehamia Chelsea sababu Wenger kaniambia sina namba Arsenal
![](http://3.bp.blogspot.com/-eSImuHf-FM0/U54ZDPbs24I/AAAAAAAFq7E/OPDW-WrUdPs/s1600/article-2658454-1EBE4D1000000578-560_634x861.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Makinda kueleza utendaji wa Bunge
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, kesho atakuwa katika banda la ofisi za Bunge kutoa maelezo kwa wananchi kuhusiana na namna ya utendaji wa mhimili huo wa dola. Akizungumza jana katika...
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Hodgson: Itakuwa vigumu kumuacha Vardy
10 years ago
Habarileo28 Dec
Nyalandu leo kueleza mafanikio ya CCM jimboni
MBUNGE wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, leo atafanya mkutano mkubwa kwa ajili ya kueleza mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) .
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdNtUdAoddqC3BDkzcWWgpFwESeFrTifADmxaA5Jt-tH1skYWXyDzkDTbZE-Dxkn1SIPi7jKjSMBXHkd7V5rpLor/10.jpg?width=650)
MADHARA YA KUMUACHA MPENZI WAKO KWA KUMFUMANIA!
9 years ago
BBCSwahili05 Sep
Uchina yafaa kueleza sera zake za uchumi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzPVa-l9CiFdpFaT5OElnMMqg5ZUb-ewKN0EfoZFvtmYOdl2HENB04L6jMGL82pO-QwoCzDMjnF-1X5YM8CB-umm/1.jpg)
KAMA KWELI UNAMPENDA UNAKUBALIJE KUMUACHA KIRAHISI?