Wenger hajui Wilshere atarudi lini
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema bado hajajua lini mchezaji wa kiungo Jack Wilshere atarejea uwanjani baada ya kujeruhiwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Wenger:Jack Wilshere si mvutaji
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amemtetea kiungo Jack Wilshere,kuwa mchezaji huyo si ‘’mvutaji wa sigara’’
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Wenger:Paulista hajui kizungu
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kwamba kutojua kizungu kwa Gabriel Paulista kutaathiri timu hiyo katika safu ya nyuma
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Pellegrini: Aguero atarudi kutamba
Meneja wa Manchester City Manuel Pellegrini ameeleza matumaini yake kwamba Sergio Aguero ataanza kufunga tena mabao kwa wingi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HRXB3pTHxIoWBqlOmaFAHYI3CN45AlC249jau*Lw5vlu46o9092ylLjOUkyoYPkIe304NLFQ0Jg5jQTVzaxpz388yERdjK1x/Dk.MakongoroMahanga.jpg?width=650)
HUYU ATARUDI/ HATARUDI BUNGENI?
SEGEREA, DAR ES SALAAM MAKONGORO MAHANGA Segerea ni moja kati ya majimbo nane ya uchaguzi jijini Dar es Salaam. Katika uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi, Segerea ilikuwa ndani ya Jimbo la Ukonga ambapo Dk. Makongoro Mahanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), alikuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2000 hadi 2010 lilipogawanywa na kuwa majimbo mawili ya Ukonga na Segerea. Katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, Dk. Mahanga alihamia...
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Kocha: Ronaldo atarudi Old Trafford.
Aliyekuwa msaidizi wa kocha wa Manchester united Mike Phelan anaamini kuwa Cristiano Ronaldo atarudi katika kilabu ya Old Trafford
11 years ago
BBCSwahili22 May
Je Joyce Banda atarudi ikulu Malawi?
Wananchi wa Malawi wamepiga kura katika uchaguzi wenye ushindani mkubwa, huku Rais Joyce Banda akichuana na wapinzani wengine kumi na mmoja.
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Francois Bozize asema atarudi CAR
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya kati Francois Bozize ambaye kwa sasa yuko mafichoni amesema kwamba huenda akarudi nchini humo ili kuwania urais mwezi Octoba.
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
Jack Wilshere hatoshuka dimbani
Alijeruhiwa wakati wa mchuano wa kirafiki wa kimataifa kati ya England na Denmark.
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Jack Wilshere mapema zaidi
Arsene Wenger amesema kiungo Jack Wilshere anatarajiwa kurejea tena dimbani wiki mbili zijazo baada ya kuumia kifundo cha mguu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania