HUYU ATARUDI/ HATARUDI BUNGENI?
![](http://api.ning.com:80/files/HRXB3pTHxIoWBqlOmaFAHYI3CN45AlC249jau*Lw5vlu46o9092ylLjOUkyoYPkIe304NLFQ0Jg5jQTVzaxpz388yERdjK1x/Dk.MakongoroMahanga.jpg?width=650)
SEGEREA, DAR ES SALAAM MAKONGORO MAHANGA Segerea ni moja kati ya majimbo nane ya uchaguzi jijini Dar es Salaam. Katika uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi, Segerea ilikuwa ndani ya Jimbo la Ukonga ambapo Dk. Makongoro Mahanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), alikuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2000 hadi 2010 lilipogawanywa na kuwa majimbo mawili ya Ukonga na Segerea. Katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, Dk. Mahanga alihamia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Kocha: Ronaldo atarudi Old Trafford.
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Pellegrini: Aguero atarudi kutamba
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Wenger hajui Wilshere atarudi lini
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Francois Bozize asema atarudi CAR
11 years ago
BBCSwahili22 May
Je Joyce Banda atarudi ikulu Malawi?
9 years ago
Bongo528 Oct
Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KIWANGO CHA NGASSA KIMESHUKA, LAKINI NI MCHEZAJI MWENYE AKILI, LAZIMA ATARUDI KATIKA KIWANGO CHAKE-PLUIJM
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/NGASSA-MRISHO.jpg)
Pluijm alikiri wazi kuwa nyota huyo ameshuka kiwango kwa sasa na ndio maana anaanzia benchi katika mechi mbalimbali, lakini anaonesha juhudi kubwa mazoezini kitendo kinachoonesha wazi ametambua alipo sasa.
“Kiwango cha Ngassa kimeshuka, lakini ni mchezaji mwenye akili, lazima atarudi katika kiwango chake”. Alisema Pluijm.Kocha huyo anayependa soka la kushambulia...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_r7eQYpXhjo/U3JOLwB0bFI/AAAAAAAFhbU/R20IeCt1v6w/s72-c/download+(4).jpg)