Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Werema alilia masilahi ya mawakili wake

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema mawakili wa Serikali wanaoendesha kesi nzito zikiwamo za dawa za kulevya wanaishi katika mazingira magumu katika nyumba za kupanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Werema awapa somo mawakili wa serikali

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amewataka Mawakili wa Serikali Wafawidhi wa mikoa na Wilaya, kufuata kanuni na taratibu ili kuhakikisha kesi za Dawa za Kulevya na Uhujumu Uchumi zinakamilishwa haraka na haki inatendeka

 

10 years ago

Mwananchi

Uraia pacha, masilahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa

Wanaoendelea kudai uraia pacha, ama hawajasoma Rasimu au wana lao jambo.Salamu zangu kwenu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, naendelea kuwapa moyo kwamba kazi mnayoifanya ni yetu na ninyi miongoni mwetu mmeonekana wenye sifa na vigezo vya kuitenda kazi hiyo ipasavyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Masilahi ya Taifa letu ni yepi?

Wakati tunajiaandaa kwa Uchaguzi Mkuu, tuna mambo mengi ya kujadili kama Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa: Mgongano wa masilahi utazamwe

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amesema tatizo la mgongano wa masilahi kwa viongozi na watumishi wa umma linahitaji kutazamwa kwa umakini ili kuleta usawa katika utoaji wa uamuzi wa jambo lolote, hasa linalowagusa wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Tutaweka mbele masilahi ya taifa

MWENYEKITI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amesema kamati yake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wataliongoza taifa katika mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya na...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wanataka masilahi yao yazingatiwe

Hivi karibuni Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Mkoa wa Manyara kwa kutambua nafasi yao wakiwa wazalishaji wakuu wa mazao ya chakula na biashara, walikutana mjini Babati na kutoa vipaumbele wanavyoitaka vitekelezewe na wagombea.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjadala wa Katiba ulenge masilahi ya nchi

Kuwasilishwa kwa rasimu ya pili ya Katiba Mpya kwa marais Jakaya Kikwete wa Jamhuri ya Muungano na Dk Ali Mohamed Shein wa Zanzibar, ni hatua muhimu katika mchakato wa kuandika upya sheria hiyo mama.

 

11 years ago

Mwananchi

‘CCM ina masilahi na Serikali mbili’

>Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza msimamo wake wa kutaka kuendelea na muundo wa Serikali mbili huku kikiweka wazi kuwa kina masilahi makubwa na mfumo huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkapa atetea masilahi ya walimu nchini

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameitaka Serikali kuboresha masilahi ya walimu ili waweze kutekeleza vyema majukumu ya kazi za kuwaandaa vijana kukabiliana na changamoto za utandawazi .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani