Ngeleja: Tutaweka mbele masilahi ya taifa
MWENYEKITI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amesema kamati yake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wataliongoza taifa katika mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Bunge la katiba wekeni masilahi ya Taifa mbele
Taifa la Tanzania liko katika mchakato wa kupata katiba mpya. Suala hili ni jema na ni la msingi sana kwa maendeleo, ushauri wangu ni kwamba wasitokee watu ambao watafanya mambo kwa masilahi yao au kikundi cha watu.
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Uraia pacha, masilahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa
Wanaoendelea kudai uraia pacha, ama hawajasoma Rasimu au wana lao jambo.Salamu zangu kwenu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, naendelea kuwapa moyo kwamba kazi mnayoifanya ni yetu na ninyi miongoni mwetu mmeonekana wenye sifa na vigezo vya kuitenda kazi hiyo ipasavyo.
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Masilahi ya Taifa letu ni yepi?
Wakati tunajiaandaa kwa Uchaguzi Mkuu, tuna mambo mengi ya kujadili kama Taifa.
10 years ago
Uhuru NewspaperNgeleja mbele ya Baraza la Maadili ya Watumishi wa Umma...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Kamati ya Sendeka yaapa kutetea masilahi ya taifa
Wajumbe wa Bunge la Katiba walioshinda nafasi ya uenyekiti na kuteuliwa katika Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, wamewatoa hofu Watanzania na wajumbe wenzao kwa kueleza kuwa watatetea masilahi ya Tanzania katika kupata katiba bora.
10 years ago
Mwananchi07 Sep
UCHAMBUZI WA POLEPOLE: Majadiliano ya vyama yabebe masilahi ya Taifa kwanza
>Wiki hii ilikuwa nianze kuchambua taarifa za Kamati za Bunge Maalumu, lakini kwa sababu ya zoezi linaloendelea la maridhiano baina ya vyama vya siasa chini ya uongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), nimeona niandike juu ya nia njema aliyokuwa nayo Rais tangu awali na msisitizo wake kwa namna tunavyopaswa kuendesha mijadala ya Katiba Mpya.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
MCHANGO WA MAWAZO : Si Magufuli wala CCM, ni masilahi mapana ya Taifa letu
Mwalimu Julius Nyerere, kabla ya kifo chake, alisema wazi kwamba Watanzania wanataka mabadiliko. Hivyo, kwamba tunataka mabadiliko si jambo la kujadili tena.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-I688u-2vLV4/U2ZdDxad4_I/AAAAAAAFfS0/tMYChEP6xHc/s72-c/8.jpg)
REBECA MALOPE AWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA,NGELEJA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULIOMBEA TAIFA
![](http://1.bp.blogspot.com/-I688u-2vLV4/U2ZdDxad4_I/AAAAAAAFfS0/tMYChEP6xHc/s1600/8.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-De9BJ8_G-EI/U2ZdErlU-tI/AAAAAAAFfSw/v_5ymg-nYok/s1600/9.jpg)
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Taifa Stars yasonga mbele
Taifa Stars imesonga mbele katika michezo ya raundi ya kwanza kwa Kanda ya Afrika ya mchujo wa Kombe la dunia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania