Mjadala wa Katiba ulenge masilahi ya nchi
Kuwasilishwa kwa rasimu ya pili ya Katiba Mpya kwa marais Jakaya Kikwete wa Jamhuri ya Muungano na Dk Ali Mohamed Shein wa Zanzibar, ni hatua muhimu katika mchakato wa kuandika upya sheria hiyo mama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Uraia pacha, masilahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Bunge la katiba wekeni masilahi ya Taifa mbele
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Pengo akemea masilahi binafsi Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
MJADALA WA KATIBA MPYA: Asasi za kiraia kuelimisha jamii kwa kugawa CD, flash za Katiba
BAADA ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar na hatimaye Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi hizo mwaka 1964, wananchi hawakuwahi kupewa fursa ya kushiriki katika utungaji wa Katiba ya nchi....
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Bunge Maalum la Katiba laendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 10 Septemba, 2014 limeendelea na kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja masuala ya migogoro ya ardhi inayowahusisha wafugaji na wakulima, mambo ya Uraia pacha, haki ya...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mjadala IPTL wateka kila kona ya nchi
11 years ago
Mwananchi22 Jun
JK: Mjadala Bunge la Katiba ni mwafaka
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Ngeleja atetea mjadala wa Katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, William Ngeleja, amesema mjadala wa katiba mpya ni mjadala wenye tija kwa taifa na watanzania kwa ujumla. Ngeleja ambaye pia ni Mbunge wa Sengerema,...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Mjadala Bunge zima la Katiba waanza