WEWE TIBAIJUKA! JEMBE LISILOLIMA LINA FAIDA GANI?
![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3OlJLd-ULc6*EbJWmq210Jl477fIrrYgJ7qwHITXF0UlPBg1iuSCN4K0AdfN4qBvzAD2Lay8SeEHZzo8wGEGm4OO/tiba.jpg?width=650)
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameleta hoja ya kujadili ndani ya kaya yangu ‘alipojisheheresha’ kuwa yeye ni jembe kwa mkuu mwenzangu wa kaya yaani Rais Jakaya Kikwete, hii ni kauli ya hivi majuzi tu. Ametumia msemo huo kama kifusi cha kufukia skendo iliyomkumba ya kujipatia fedha chafu kiasi cha shilingi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLKLjpChSdt1oGpV2*mIAyPfp6U1UhOTQ6kOEQu2NOHYV9uPBGu7yQJL7WfmL0KbQvjJkaGhWd4oMpIg9M*9vlb/CHEKANAKITIME.jpg)
WEWE NI RAFIKI WA AINA GANI?
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Tanzania inazilinda mali za Canada kwa faida gani?
5 years ago
MichuziMBUNGE CHADEMA ASEMA UAMUZI WA LOCKDOWN HAUKUWA WA MAANA, AHOJI HIVI RAIS ATOE MAAMUZI YA KUUA WATANZANIA WENGI KWA AJILI YA CORONA ILI APATE FAIDA GANI
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kikiwa kwenye mpasuko baada ya baadhi ya wabunge wake kukaidi agizo la Chama hicho kuwataka kutohudhuria Bunge na kisha kukaa 14 kama sehemu ya kujilinda na virusi vya Corona limechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama hicho Peter Lijualikali kuelezea hatua kwa hatua madhara ya Lockdown kwa Watanzania na namna ambavyo aliamua kutokubaliana na uamuzi huo kwa maslahi ya...
10 years ago
GPLSHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA
10 years ago
GPLDNA, KENRAZY, GRANDPA FAMILY WATIKISA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GJ-8MLJZOhI/VCusZTQkGEI/AAAAAAAGm5M/5VA9F1xAjzw/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-GJ-8MLJZOhI/VCusZTQkGEI/AAAAAAAGm5M/5VA9F1xAjzw/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ci-L9sZRXas/VCusYWC5zlI/AAAAAAAGm48/vHBq498x9sk/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JkDnTqvhmbk/VCusYs_D5WI/AAAAAAAGm5E/1FjfxdspU6I/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rAc213RHzPE/VCusYhj72FI/AAAAAAAGm5A/GwbPEti-PuA/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CqRYuySSglw/U-W6KtEobrI/AAAAAAACnCE/CqNkDBmALHE/s72-c/11.jpg)
HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-CqRYuySSglw/U-W6KtEobrI/AAAAAAACnCE/CqNkDBmALHE/s1600/11.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi6565AXjEtuKJmtXroVicDOsOCZe5MLOyCPiSwVUn0FXAs9bp8JNP8wd3Eiwcnfg5fBFDx1*W7HFRpv23YMGX4qS/unhappycouple.jpg?width=650)
HANA WIVU NA WEWE...HAKUFUATILII...MESEJI MPAKA UANZE WEWE... HUYO ANA MALENGO YAKE!
11 years ago
CloudsFM07 Aug
USAILI WA SERENGETI FIESTA SUPER NYOTA DIVAZ DIVAZ UNAOFANYIKA PANDE ZA JEMBE NI JEMBE,MWANZA
Usaili wa Dance la Fiesta na Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz ukifanyika pande za Jembe ni Jembe,jijini Mwanza hapa majaji wakiwasaili washiriki waliofika eneo hilo.
Mmoja wa washiriki wa Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz akiimba kwenye usaili.