Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WhatsApp yaongeza features mpya ikiwemo ‘emoji’ ya kidole cha kati!

WhatsApp imeboresha zaidi huduma zake kwa kuongeza baadhi ya vitu ambavyo havikuwepo katika matoleo yaliyopita. Maboresho hayo ni kwa watumiaji simu za Android. Katika version mpya 2.12.250, sasa mtumiaji wa WhatsApp anaweza ku-customize notifications kwa mtu mmoja mmoja au kwa kila kundi alilonalo, ikiwemo vibration length, popup notification, notification light na call notification tone. Kingine […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Whatsapp yaongeza alama ya kuonesha ujumbe umesomwa na muda uliosomwa

Whatsapp wamewapunguzia sababu ya kujitetea wale wote wenye tabia za kutojibu message kwa kisingizio kuwa hawakuziona hata kama zilionesha tiki mbili kuashiaria zimefika. Sasa Whats App imeongeza alama ya kuonesha kuwa ujumbe umesomwa na muda ambao umesomwa. Kuanzia sasa ujumbe ambao tayari umepokelewa na kusomwa utakuwa unaonesha tiki mbili za blue upande wa kulia chini […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhusiano kati ya Korea Kusini na Kaskazini: Nini chanzo cha Uhasama uliopo kati ya mataifa haya

Miezi ya hivi karibuni , kumekuwa na uvumi kuhusu hali ya uchumi na afya kutokana na virusi vya corona, licha ya kwamba Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa hakuna maambukizi ya corona.

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP

Prof. Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na mfuko huo wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Seaescape, Uliopo Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam.Meneja wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Penhsheni wa PPF kwaa Waajiri wa Makampuni na mashirika...

 

10 years ago

Bongo5

Unyanyasaji Mtandaoni + Kifo cha Betty Ndejembi, nani wa kumnyooshea kidole?

Imeandikwa na Malisa Godlisten Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa wengine. Lakini siku zote ninaamini katika busara hii: kuuchukia ukweli hakubadilishi ukweli kuwa uongo. Ukweli ni ukweli na uongo ni uongo. Ukweli hauwezi kuwa uongo, na kadhalika uongo hauwezi kuwa ukweli. Kamwe asilani. Wakati tunaomboleza kifo […]

 

5 years ago

Michuzi

UBORESHWAJI KITUO CHA AFYA BUNDA MJINI IKIWEMO MAJENGO MAPYA NA VIFAA TIBA VYA KISASA

 . Muonekano wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Bunda mjini baada ya kuboreshwa  na Serikali ya Awamu ya Tano kwa gharama ya shilingi milioni 500 kwa kujengewa majengo mapya na vifaa tiba vya kisasa. PIX2. Sehemu  ya  majengo ya  kituo cha Afya Bunda   mjini mkoani Mara  baada ya kuboreshwa na kuanza kutoa huduma za upasuaji kwa wananchi wa mji huo na maeneo ya jirani. (Picha  na  MAELEZO).

 

10 years ago

Mwananchi

Kitendawili cha Escrow: Chadema yaongeza orodha

Masikio ya Watanzania leo yameelekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete watakapokuwa wakisikiliza hotuba yake kwa Taifa inayotarajiwa kujibu maswali yapatayo 10 ambayo yanatarajiwa kutegua kitendawili cha kashfa ya uchotaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

5 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA BARAKOA TZ CHAGAWA BARAKOA BURE ZAIDI YA 1000 MAENEO MBALIMBALI IKIWEMO VITUO VYA WATOTO YATIMA

Janga la ugonjwa wa virusi vya COVID-19 umeleta uhaba ya bidhaa nyingi humu nchini zikiwemo Barakoa. Rania Nasser ambaye ni mwanafunzi wa sekondari aliunda kikundi kinachojulikana kama Barakoa Tz cha kutengeneza na kugawa barakoa bure kwa wale wenye uhitaji. Nia yake kubwa ilikuwa ni kutengeneza barakoa nyingi na kuzigawa bure kwenye vituo vya polisi vilivyo karibu na nyumbani kwao bure kabisa.
Baada ya wiki moja, uhitaji wa barakoa uliongezeka maradufu na hivyo akaona umuhimu wake...

 

5 years ago

Engadget

Next year's emoji update will be delayed by six months

Next year's emoji update will be delayed by six months  EngadgetThere aren't going to be any new emojis in 2021  NeowinThere might be no new Android or iOS emoji released in 2021  TechRadarEven emoji are being delayed because of coronavirus 😷  Android PoliceNew emoji will come to iPhones later than usual because of coronavirus  9to5MacView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani