Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WHO YAAHIRISHA MAJARIBIO YA HYDROXYCHLOQUINE KWA COVID-19

Coronavirus - Hydroxychloroquin (picture-alliance/dpa/Zuma/Quad-City Times/K. E. Schmidt)Uamuzi huo wa WHO umefikiwa baada ya ripoti ya wanasayansi iliyochapishwa katika jarida maarufu la kitabibu la The Lancet wiki iliyopita, ikisema matumizi wa hydroxychloroquine yalikuwa yakizidisha hatari ya kufa miongoni mwa wagonjwa wa COVID-19, amesema mkuu wa shirika hilo Tedros Adhanom Ghebreyesus katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwa njia ya video jana jioni.Tedros alisema kile kinachofahamika kama 'mshikamano wa majaribio' kinachohusisha mamia ya hospitali ulimwenguni...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya kufanyia majaribio chanjo ya Covid-19 kwa binadamu

Wanasayansi wa Kenya wameungana na wenzao wa kimataifa katika juhudi za kutafuta tiba ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio dawa tatu.

 

5 years ago

CCM Blog

WHO: MAJARIBIO CHANJO YA COVID-19 (CORONA) YAMEANZA

WHO: Majaribio ya chanjo ya COVID-19 (Corona) yameanza
Shirika la Afya Duniani limesema siku 60 baada ya sampuli za virusi vya Corona au COVID-19 kuwasilishwa na China, chanjo ya kwanza ya majaribio imeanza.Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema, “haya ni mafanikio makubwa, tunawapongeza watafiti kote duniani ambao wamekuja pamoja ili kutathmini majaribio ya tiba."Ameongeza kuwa WHO na washirika wake wanaandaa utafiti katika nchi nyingi ambako baadhi ya nchi...

 

9 years ago

Habarileo

Mshambuliaji mwingine atua Simba kwa majaribio

MSHAMBULIAJI Makan Dembele kutoka Mali amewasili nchini kwa majaribio ya kujiunga na Simba SC. Mchezaji huyo aliwasili juzi jioni na kuungana na Abdoulaye N’daw wa Senegal katika majaribio hayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kampuni D’ salaam yatengeneza miguu bandia kwa majaribio

Kampuni ya Kamal Group ya inayojihusisha na utengenezaji wa nondo, imetengeneza miguu bandia ya majaribio na kuigawa kwa watu 60 wenye ulemavu.

 

11 years ago

Michuzi

VIJIMAMBO RADIO SASA IPO HEWANI KWA MAJARIBIO

Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio kwa hiyo kama utapata nafasi naomba uisikilize kupitia www.vijimamboradio.com 
Toa maoni yako kumbuka tupo kwenye majaribio na bado tunaendelea kuboresha Radio hii na kama una maoni au ushauri unaweza toa maoni yako au tuandikie barua pepe djlukejoe@gmail.com au Vijimamboblog@gmail.com asante endelea kuburudika na 
VIJIMAMBO RADIO

 

5 years ago

CCM Blog

WANASAYANSI WA UINGEREZA KUIFANYIA MAJARIBIO CHANJO YA CORONA KWA WAKENYA


vaccineHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionChanjoWatafiti kutoka nchini Uingereza wanafikiria kufanyia majaribio chanjo ya virusi vya corona nchini Kenya ambapo kulingana na wao mlipuko wa ugonjwa huo unaongezeka.Hatua hiyo inajiri wiki moja baada ya Shirika la Afya duniani kuyaonya mataifa ya Ulaya kwamba bara la Afrika sio uwanja wa majaribio ya chanjo.Dawa ya corona yashindwa jaribio la kwanzaWHO: Afrika sio uwanja wa majaribio ya chanjo ya coronaMkuu wa Shirika hilo Dkt Tedros Adhanom...

 

10 years ago

Vijimambo

ZOEZI LA UANDIKISHA WAPIGA KURA KIELEKTRONIKI (BVR), KWA MAJARIBIO LAANZA DAR


Zoezi la kuandikisha upya wapiga kura wenye sifa, kwa kutumia mfumo mpya wa kidigitali au kielektroniki, yaani Biometric Voters Registre, (BVR), limeanza jijini Dar es Salaam kwa majaribio, na hakika hakuna longolongo wala kupoteza muda, Mimi nimeshuhudia mtu mmoja humchukua takrivan dakika 10 tu kupatiwa kitambulisho au kadi ya kisasa ya kupigia kura. Hatua hizo ni kama zifuatazo, mosi, mtu anayeomba kuandikishwa ataonyesha kitambulisho na kujaza fomu ya Tume ya Uchaguzi ya kuomba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani