Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshambuliaji mwingine atua Simba kwa majaribio

MSHAMBULIAJI Makan Dembele kutoka Mali amewasili nchini kwa majaribio ya kujiunga na Simba SC. Mchezaji huyo aliwasili juzi jioni na kuungana na Abdoulaye N’daw wa Senegal katika majaribio hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Simba yamtupia virago Niang, mwingine atua

UONGOZI wa Simba umeamua kuachana na mshambuliaji Papa Niang kutoka Senegal.

 

11 years ago

GPL

Mkenya mchana nyavu atua Simba atua

Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, Na Hans Mloli
MSIMBAZI noma! Hatimaye kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, ametua nchini jana Jumapili tayari kwa kumalizana na Simba, lakini kikubwa amedai kwamba anaisubiri Yanga. Kiongera, ambaye msimu uliopita alikuwa akiichezea Kenya Commercial Bank (KCB) ya Kenya, anatarajiwa kusaidiana na Amissi Tambwe kuhakikisha Simba inakuwa na safu imara...

 

11 years ago

GPL

Straika atua Simba kwa ndege

Kikosi cha timu ya Mbeya City. Martha Mboma na Nicodemus Jonas
KUONYESHA kuwa inajipanga kwa ajili ya kufanya kweli msimu ujao, Simba imeanza michakato ya usajili kwa nguvu zote ambapo imeamua kulipa nauli ya ndege kwa mshambuliaji wa Mbeya City, Saady Kipanga ikiwa ni sehemu ya kumshawishi atue klabuni hapo. Kipanga ambaye alionyesha kiwango kizuri msimu uliomalizika hivi karibuni kwenye kikosi cha Mbeya City, amekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbrazil mwingine atua Yanga

MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka nchini Brazil, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ amewasili jijini Dar es Salaam jana mchana akitokea Sao Paulo, Brazil, tayari kwa kuanza kazi ya kuitumikia klabu ya Yanga....

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZIBAR HUKU IKIMTEMA MSHAMBULIAJI WAKE KUTOKA GAMBIA


KLABU  ya Simba imeingia kambini leo Zanzibar huku ikimtema mshambuliaji wake raia wa Gambia Omar Mboob.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally alidhibitisha kuwa mchezaji huyo ameenguliwa kwenye kikosi cha Simba kwa vile ameshindwa kuonyesha kiwango cha kumshawishi kocha Patrick Phiri ili aweze kusajiliwa.
"Mboob kwa sasa tunamfanyia taratibu ili aweze kurudi nchini kwao, kesho (leo) au kesho kutwa ataondoka, ameshindwa kuonyesha makali."alisema
Wakati Ally akisema hayo, Mwenyekiti wa kamati...

 

9 years ago

Bongo5

Abdul Kiba adai kuitwa na kikosi cha Simba kufanyiwa majaribio

Abdul Kiba amedai ameitwa na klabu ya Simba ili kufanya majaribio ya kuichezea timu hiyo. Akizungumza na Bongo5 jana, Abdul Kiba alisema ikitokea atapewa nafasi ya kuichezea timu hiyo atacheza. “Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa […]

 

9 years ago

Habarileo

Majwega atua Simba

MCHEZAJI Brian Majwega raia wa Uganda sasa yupo huru kucheza Simba katika Ligi Kuu bara. Kwa takriban wiki mbili sasa kumekuwa na mgogoro kati ya Simba na Azam FC kuhusu mchezaji huyo aliyesajiliwa na Azam mwanzoni mwa mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

Mkenya atua Simba SC, Matola out

Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola. Na Waandishi Wetu
UONGOZI wa Simba umelazimika kuachana na kocha msaidizi, Selemani Matola na tayari kuna taarifa kuwa nafasi yake itachukuliwa na Mkenya, Yusuf Chippo ambaye aliwahi kuifundisha Coastal Union ya Tanga. Simba imefikia hatua hiyo baada ya kujadili kwa kina barua aliyoiandika Matola kwa viongozi wake kutaka kupumzika ili kutatua matatizo ya kifamilia lakini pia akiomba au...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiiza atua rasmi Simba

Timu ya Simba imesema Mganda Hamisi Kiiza atakuwa chachu ya mafanikio katika msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani