Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wiki ya chanjo Afrika kuzinduliwa kesho

Mratibu wa Chanjo Zanzibar Bw. Yusuf Haji Makame akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu wiki ya chanjo Afrika itayozinduliwa kesho na Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni Haji uzinduzi huo utafanyika kituo cha Afya Chumbuni Mjini Zanzibar. Mdhibiti magonjwa - Kitengo cha Chanjo Wizara ya Afya Bw. Abdulhamid Ame akitoa ufafanuzi kuhusu Chanjo wakati wa Mkuta na wandishi wa Habari. Muandishi wa Habari wa Staa TV Abdallah Pandu akitaka ukiuliza swali kuhusu wiki ya Chanjo Afrika.
Baadhi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DODOMA KUMEKUCHA WIKI YA VIJANA KUZINDULIWA RASMI KESHO

 

Baadhi ya wakazi wakiwa katika Banda la Mkoa wa Tanga wakati wa maadhimisho ya 16 ya Wiki ya Vijana ambayo Kitaifa inafanyikia mkoani Dodoma. Maadhimisho ya Wiki ya Vijana uratibiwa na kusimamiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo chini ya Idara ya Maendeleo ya Vijana ambapo maadhimisho ya mwaka huu ni ya 16 tokea kuasisiwa kwake.Watoto wa Halaiki wakiwa katika maandalizi ya lala salama tayari kwa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kama walivyokutwa na mpiga picha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida

DSC07952

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.

DSC07953

DSC07970

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo

KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...

 

10 years ago

Michuzi

WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUANZA RASMI KESHO MAKUMBUSHO YA TAIFA NA NYUMBA YA UTAMADUNI JIJINI DAR ES SALAAM

UNESCO inakusudia kushirikiana na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kusherehekea Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika kuanzia tarehe 25 hadi 29 Mei 2015. Iwapo jambo hili litafana mwaka huu lirudiwe tena mwaka kesho na hatimaye liwe ni la kila mwaka.
Wiki hii itaanza tarehe 25 Mei ya kila mwaka husherehekewa kwa njia mbalimbali ndania na nje ya Bara la Afrika kukumbuka siku ambayo viongozi wa nchi za kiafrika ambazo tayari zilikuwa huru walikutana waka 1963 na kuanzisha Umoja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nitetee Bwana kuzinduliwa kesho

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, Amoni Mwakalukwa, kesho anatarajia kuizindua albamu yake ya pili iitwayo ‘Nitetee Bwana’ shughuli itakayofanyika kwenye ukumbi wa FFU Ukonga jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA KESHO

Makala:  Mwandishi Wetu
KAMPENI ya ugonjwa wa Homa ya Ini unaosambazwa na Virusi vya Hepatitis B itazinduliwa rasmi kesho Ijumaa, Machi 7, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Ilala–Amana, jijini Dar es Salaam. Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini alipoongea na wanahabari (hawapo pichani) jana.
Akizungumza na Amani, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mashine nyingine ya ‘TigoMatic’ kuzinduliwa kesho

KAMPUNI ya Simu za mkononi ya Tigo kesho itazindua mashine maalum ya pili ya Tigo Matic inayowawezesha wateja wake kulipia bili za huduma mbali mbali na kuongeza salio itakayofanya kazi kwa masaa ishirini na nne kwa siku.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa kesho kutwa

Untitled

Na Mwandishi Wetu

UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014 zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya New Afrika, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani