Wiki ya mtikisiko
Ni wiki ya mtikisiko. Hivi ndiyo unavyoweza kuelezea hali itakavyokuwa nchini kutokana na matukio makubwa ya kisiasa yanayotazamiwa kutokea ndani ya wiki inayoanza leo ambayo yanaweza kubadili mwelekeo wa siasa za Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Sep
Ni mtikisiko
NA WAANDISHI WETU
MTIKISIKO mkubwa wa kisiasa jana umelikumba taifa, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na polisi katika maeneo mbalimbali.
Hali hiyo, ilianza kuonekana mapema jijini Dar es Salaam, wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliwapowasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi saa tano asubuhi kwa ajili ya kuhojiwa.
Mbowe aliitwa kuhojiwa na viongozi wa jeshi hilo kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi wiki iliyopita.
Akizungumza kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya chama chake, Mbowe...
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Mtikisiko
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Mtikisiko bungeni
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amepata wakati mgumu wakati wabunge walipowasilisha hoja kutaka Bunge lijadili suala la haki na maadili ya Bunge baada ya kuwapo madai kwamba ripoti ya Mdhibiti...
9 years ago
GPLMTIKISIKO UKAWA
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Mtikisiko wa Hirizi (2)
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Mtikisiko wa Hirizi
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Mtikisiko wa tano
11 years ago
Uhuru Newspaper25 Jun
Mtikisiko CHADEMA
NA HAMIS SHIMYE
CHADEMA inaendelea kuingia katika mpasuko, baada ya mamia ya wanachama wa chama hicho kuandamana na kupeleka barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Wanachama hao wakipeleka barua zao katika ofisi hizo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kaliua, Joram Mmbogo na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Joseph Yona.
Wanachama hao walikuwa wamebeba mabango mbalimbali yaliokuwa yakisomeka ‘Mbowe, ruzuku umeshindwa...
9 years ago
Habarileo28 Nov
Mtikisiko vigogo TRA
RAIS John Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, muda mfupi baada ya ziara ya kushitukiza ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa iliyofanyika jana.