MTIKISIKO UKAWA
![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3Xp6PSbG*jjauONM4VIhZMOXwha3tS8fuu2rJjl8vuuEeFzr756todWYK-G5f4iXgGP7ndq1WgoeXHjlHVQpRfT/4.Dkt.Slaaakizungumzanawanahabarihawapopichani..jpg)
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Serena hoteli jijini Dar. ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, amevunja ukimya kwa kueleza kile kilichomsukuma kujiuzulu wadhifa huo, sambamba na kujivua uanachama wa chama hicho. Katika kuvunja kwake ukimya huo, Dk. Slaa aliweka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...
10 years ago
Mtanzania19 Sep
Ni mtikisiko
NA WAANDISHI WETU
MTIKISIKO mkubwa wa kisiasa jana umelikumba taifa, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na polisi katika maeneo mbalimbali.
Hali hiyo, ilianza kuonekana mapema jijini Dar es Salaam, wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliwapowasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi saa tano asubuhi kwa ajili ya kuhojiwa.
Mbowe aliitwa kuhojiwa na viongozi wa jeshi hilo kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi wiki iliyopita.
Akizungumza kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya chama chake, Mbowe...
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Mtikisiko
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Wiki ya mtikisiko
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Mtikisiko wa Hirizi (2)
11 years ago
Uhuru Newspaper25 Jun
Mtikisiko CHADEMA
NA HAMIS SHIMYE
CHADEMA inaendelea kuingia katika mpasuko, baada ya mamia ya wanachama wa chama hicho kuandamana na kupeleka barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Wanachama hao wakipeleka barua zao katika ofisi hizo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kaliua, Joram Mmbogo na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Joseph Yona.
Wanachama hao walikuwa wamebeba mabango mbalimbali yaliokuwa yakisomeka ‘Mbowe, ruzuku umeshindwa...
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Mtikisiko wa tano
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Mtikisiko wa Hirizi
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Mtikisiko bungeni
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amepata wakati mgumu wakati wabunge walipowasilisha hoja kutaka Bunge lijadili suala la haki na maadili ya Bunge baada ya kuwapo madai kwamba ripoti ya Mdhibiti...