Mtikisiko
Katika riwaya hii utashuhudia mambo yanayofanyika chini ya jua yakiwastaajabisha wale wenye akili timamu na kuwasisimua wenye mioyo ya kijasiri. Alimkubali Shaka kwa kuwa kwanza aligumdua kuwa ni mgeni wa eneo hilo na pili alimwona kuwa ni mtu ambaye hakuwa na marafiki ambao huenda wakamshawishi aachane na wanawake wa baa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Sep
Ni mtikisiko
NA WAANDISHI WETU
MTIKISIKO mkubwa wa kisiasa jana umelikumba taifa, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na polisi katika maeneo mbalimbali.
Hali hiyo, ilianza kuonekana mapema jijini Dar es Salaam, wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliwapowasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi saa tano asubuhi kwa ajili ya kuhojiwa.
Mbowe aliitwa kuhojiwa na viongozi wa jeshi hilo kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi wiki iliyopita.
Akizungumza kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya chama chake, Mbowe...
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Mtikisiko wa Hirizi (2)
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Mtikisiko bungeni
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amepata wakati mgumu wakati wabunge walipowasilisha hoja kutaka Bunge lijadili suala la haki na maadili ya Bunge baada ya kuwapo madai kwamba ripoti ya Mdhibiti...
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Mtikisiko wa tano
11 years ago
Uhuru Newspaper25 Jun
Mtikisiko CHADEMA
NA HAMIS SHIMYE
CHADEMA inaendelea kuingia katika mpasuko, baada ya mamia ya wanachama wa chama hicho kuandamana na kupeleka barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Wanachama hao wakipeleka barua zao katika ofisi hizo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kaliua, Joram Mmbogo na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Joseph Yona.
Wanachama hao walikuwa wamebeba mabango mbalimbali yaliokuwa yakisomeka ‘Mbowe, ruzuku umeshindwa...
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Wiki ya mtikisiko
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Mtikisiko wa Hirizi
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3Xp6PSbG*jjauONM4VIhZMOXwha3tS8fuu2rJjl8vuuEeFzr756todWYK-G5f4iXgGP7ndq1WgoeXHjlHVQpRfT/4.Dkt.Slaaakizungumzanawanahabarihawapopichani..jpg)
MTIKISIKO UKAWA
10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Mtikisiko CCM Manyara
WALIOKUWA wagombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Babati Mjini wamezidi “kumkaba koo” mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo na Mbunge anayemaliza muda wake Kiseyri Chambiri wakipinga matokeo ya uchaguzi huo.
Wagombea hao wapatao saba wameandika barua ya malalamiko kwenda Mkurugenzi wa Uchaguzi Mkoa wa Manyara wakipinga matokeo ya uchaguzi kwa madai ya ukiukwaji wa kanuni,taratibu,sheria na kutamalaki kwa vitendo vya rushwa katika mchakato...