Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wimbo ambao natamani kuandikia script ya video ni ‘Zigo’ ya AY – Asema Mike Tee

mike-tee

Mike Francis Mwakatundu maarufu kama Mike Tee, ni rapper mkongwe kutoka Iringa ambaye pia ana uwezo mwingine wa kuandaa ‘script’ za video za muziki.

mike-tee

Mike Tee ndiye aliandika script ya video ya Mwana FA na Alikiba ‘Kiboko Yangu’ iliyoongozwa na director Mkenya, Kevin Bosco.

Kupitia 255 ya XXL Mike amesema wimbo anaotamani kuandikia script ya video kwa sasa ni ‘Zigo’ ya AY.

“Nyimbo moja ambayo napenda sana yaani nikiiskiliza inaninivutia sasa hivi na ningepedna sana kuichorea script ni ‘Zigo’...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mike Tee ndiye aliyeandika script ya video ya ‘Kiboko Yangu’ ya Mwana FA

Bila shaka unaikumbua video ya ‘Kiboko Yangu’ ya Mwana FA na Alikiba iliyofanyika nchini Kenya na kuongozwa na Kevin Bosco Jr na kutoka January 2015. Script ya video hiyo iliandikwa na rapper Mike Tee ambaye pia ana vipaji vingine vya kutengeneza muziki pamoja na kuongoza video za muziki. Mike Tee a.k.a Mnyalu ameelezea jinsi ilivyokuwa […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Mike Tee — I Miss You

Wimbo mpya kutoka kwa Mike Tee unaitwa “I Miss You” Producer Pancho Latino

 

11 years ago

Michuzi

introducing "Ulisema" by BONIFACE & MIKE TEE

Artist : BONIFACE & MIKE TEE  Song : ULISEMA  Audio Produced By Mike Tee at Mykey Records  Video By Kitaa Video / Visualized By Mike Tee    For any questions comments please don't hesitate to contact us  BoniFace +255 718 756 998   Mail address kitaajoint@gmail.com

 

11 years ago

GPL

MIKE TEE AANDIKA BARUA YA WAZI KWA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI NCHINI

Msanii wa muziki na CEO wa kampuni ya Showbiz Defined Media Company, Make Tee. Msanii wa muziki na CEO wa kampuni ya Showbiz Defined Media Company, Make Tee ameandika barua ya wazi kwa Watanzania wanaofanya muziki wa injili nchini. Barua hiyo inasomeka kama ifuatavyo:
Ninavyojua muziki wa kwaya unauza sana kuliko muziki wowote Tanzania , Matamasha yao yanajaza watu wengi sana kwasababu moja , hayachagui umri na pale watu wengi...

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba asema ‘soon’ ataachia wimbo na video mpya

Msanii wa muziki, Alikiba amesema kuwa baada ya kuona wimbo wa “Mwana” umefanya vizuri anatarajia kuachia wimbo mpya ambao utakuja pamoja na video. Akizungumza na Planet Bongo ya EATV, Kiba amesema hana muda wa kusubiria kama mwanzo, sasa hivi ni ngoma baada ya ngoma. “Kinachofuata ni kazi kama nilivyo wa-promise before, hakuna gape, kwaiyo soon […]

 

11 years ago

GPL

SIKILIZA WIMBO MPYA WA MIKE FT. STIZLE - BIDII

NI wimbo wangu wa tatu tangu nimeanza muziki na kuachia nyimbo zangu rasmi na hii imefanyika nchini Kenya chini ya utayarishaji wake Amoh analiyechini ya studio za Favor Rec na aliyeshirikishwa katika chorus ya wimbo huu ni Stizle ambaye aliandka na kuimba kiitikio. Nimeamua kuimba muziki wa haina hii ili kufikia mashabiki wanaopenda muziki wa kurap lakini ulio katika mahadhi ya kuchezeka lakini sijatoka katika misingi...

 

9 years ago

Bongo5

Timbaland kuachia mixtape yake Dec 25, itakuwa na wimbo wa Aaliyah ambao haujawahi kusikika

timbaland

Producer mkongwe ambaye pia ni rapper, Timbaland ametangaza ujio wa mixtape yake mpya ‘King Stays King’ ambayo anatarajia kuiachia kwenye sikukuu ya Krismas Dec.25 mwaka huu.

timbaland

Miongoni mwa nyimbo zitakazokuwemo kwenye mixtape hiyo ni pamoja na wimbo mpya wa muimbaji wa RnB marehemu Aaliyah ambao haukuwahi kutoka wala kusikika.

Mixtape hiyo itakayokuwa na nyimbo 16 itakuwa na nyimbo walizoshirikisha Young Thug, Rich Homie Quan, Mila J pamoja na Blaze.

“It’s been a while since I’ve been able...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani