Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIMBO MPYA WA MRISHO MPOTO ALIOIMBA KWA AJILI YA WANAHABARI

Na Woinde Shizza, Arusha  Jaji mstaafu Mark Bomani leo amezindua rasmi video ya wimbo wa waandishi wa habari ujulikanayo kwa jina la Uhuru wangu pamoja na albamu mpya ya msanii wa mziki wa nyimbo za asili Mrisho Mpoto ijulikanayo kwa jina la Waite katika kilele cha maathimisho ya uhuru wa vyombo vya habari duniani jijini Arusha.  Uhuru wangu uko wapi mwanahabari mie,kalamu yangu,sauti yangu kamera yangu leo ndio kaburi langu mie Huo ndio wimbo wa kundi la Mrisho Mpoto Band ambalo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto amliza Vanessa Mdee…lakini si kwa ubaya!

mpoto n vee

Sio kila siku unaweza kuamka na furaha na kila kitu kikawa sawa. Kuna nyakati ambazo mtu unaweza kujikuta hauko vizuri kutokana na baadhi ya mambo yako kukwama.

mpoto n vee

Katika hali kama hii binadamu huhitaji kitu kidogo tu kama maneno ya kutia moyo kutoka kwa mtu unayemuheshimu, ambayo yanaweza kuirudisha furaha iliyokuwa imepotea kwa muda.

Ujumbe wa pongezi kwa muimbaji wa ‘Never Ever’ Vanessa Mdee umegeuka kuwa faraja kwa Vee Money ambaye kwa mujibu wa post yake ya Instagram siku ya leo Dec 8...

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATAFUTA NAULI KWA KUPIGA DEBE KWENYE DALADALA - 4

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipotua Dar na mama yake, akaanzishwa Shule ya Msingi, Ilala Boma na kipindi hicho walikuwa maskini wa kutupwa kwani maisha yao yalikuwa ya kwenda kuokota vifuu, kuni na kuviuza. Songa nayo mwenyewe... “Mazingira ya nyumba yetu pale Ilala yalikuwa ni kama eneo la kumuelekeza mtu kutokana na jumba bovu nililokuwa nikiishi na mama.”Duh!...

 

9 years ago

GPL

MJUE MRISHO MPOTO -2

ATUA DAR, AOKOTA KUNI, VIFUU NA KUVIUZA MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale upande wa baba yake alipomwambia mkewe ampeleke mtoto porini hadi atakapofariki dunia kisha arudi kwa sababu tu alizaliwa akiwa na alama ya ajabu shingoni. Songa nayo mwenyewe... “Kwa kuwa baada ya mama kunizaa alisema hatazaa tena, kitendo cha kuambiwa anipeleke porini nikafie huko nifukiwe kilimfanya...

 

10 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto awapa ushauri wasanii wanaotegemea show

Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amewataka wasanii wenzie kuacha kutegemea show pekee na kujitengenezea njia nyingine za kujipatia kipato. Mrisho Mpoto akikamata fursa kwa Waziri Pinda. Akizungumza na Bongo5 jana, Mpoto amesema kuwa wasanii wanaHitaji kutafuta elimu ya jinsi ya kutumia brand zao. “Wasanii wanahitaji kutafuta wasomi ili wajue jinsi ya kutumia […]

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: AANZISHA KAMPUNI, APELEKWA MAHAKAMANI

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipoamua kuanzisha Kipindi cha Bongo Dar es Salaam na kufanikiwa kumuweka Dude lakini Dude huyohuyo akalewa sifa na kutaka kumgeuka ambapo alienda Televisheni ya Taifa (TBC) na kudai apewe mkataba mpya bila Mrisho kujua. Alikataliwa, je unajua kilichoendelea?Songa nayo sasa... “TBC wakaendelea kumgomea Dude kwamba hawawezi kuukatisha...

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO, WAZUNGU WAMPIGIA SALUTI, WAMPELEKA MAREKANI -6

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale Mrisho alipokuwa akijiingizia kipato cha shilingi 3,000 kwa kusimulia hadithi kwa siku kutoka 1,200 za kibarua ambapo sasa Wazungu kutoka Dar walimtumia nauli arudi. Tambaa nayo mwenyewe... “Ikabidi nikubaliane na wale Wazungu, nikatoka Kigoma na kurejea Dar, nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 ambapo makazi yangu yalikuwa hayatabiriki kwani siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani