Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrisho Mpoto amliza Vanessa Mdee…lakini si kwa ubaya!

mpoto n vee

Sio kila siku unaweza kuamka na furaha na kila kitu kikawa sawa. Kuna nyakati ambazo mtu unaweza kujikuta hauko vizuri kutokana na baadhi ya mambo yako kukwama.

mpoto n vee

Katika hali kama hii binadamu huhitaji kitu kidogo tu kama maneno ya kutia moyo kutoka kwa mtu unayemuheshimu, ambayo yanaweza kuirudisha furaha iliyokuwa imepotea kwa muda.

Ujumbe wa pongezi kwa muimbaji wa ‘Never Ever’ Vanessa Mdee umegeuka kuwa faraja kwa Vee Money ambaye kwa mujibu wa post yake ya Instagram siku ya leo Dec 8...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WIMBO MPYA WA MRISHO MPOTO ALIOIMBA KWA AJILI YA WANAHABARI

Na Woinde Shizza, Arusha  Jaji mstaafu Mark Bomani leo amezindua rasmi video ya wimbo wa waandishi wa habari ujulikanayo kwa jina la Uhuru wangu pamoja na albamu mpya ya msanii wa mziki wa nyimbo za asili Mrisho Mpoto ijulikanayo kwa jina la Waite katika kilele cha maathimisho ya uhuru wa vyombo vya habari duniani jijini Arusha.  Uhuru wangu uko wapi mwanahabari mie,kalamu yangu,sauti yangu kamera yangu leo ndio kaburi langu mie Huo ndio wimbo wa kundi la Mrisho Mpoto Band ambalo...

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATAFUTA NAULI KWA KUPIGA DEBE KWENYE DALADALA - 4

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipotua Dar na mama yake, akaanzishwa Shule ya Msingi, Ilala Boma na kipindi hicho walikuwa maskini wa kutupwa kwani maisha yao yalikuwa ya kwenda kuokota vifuu, kuni na kuviuza. Songa nayo mwenyewe... “Mazingira ya nyumba yetu pale Ilala yalikuwa ni kama eneo la kumuelekeza mtu kutokana na jumba bovu nililokuwa nikiishi na mama.”Duh!...

 

9 years ago

GPL

MJUE MRISHO MPOTO -2

ATUA DAR, AOKOTA KUNI, VIFUU NA KUVIUZA MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale upande wa baba yake alipomwambia mkewe ampeleke mtoto porini hadi atakapofariki dunia kisha arudi kwa sababu tu alizaliwa akiwa na alama ya ajabu shingoni. Songa nayo mwenyewe... “Kwa kuwa baada ya mama kunizaa alisema hatazaa tena, kitendo cha kuambiwa anipeleke porini nikafie huko nifukiwe kilimfanya...

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO, WAZUNGU WAMPIGIA SALUTI, WAMPELEKA MAREKANI -6

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale Mrisho alipokuwa akijiingizia kipato cha shilingi 3,000 kwa kusimulia hadithi kwa siku kutoka 1,200 za kibarua ambapo sasa Wazungu kutoka Dar walimtumia nauli arudi. Tambaa nayo mwenyewe... “Ikabidi nikubaliane na wale Wazungu, nikatoka Kigoma na kurejea Dar, nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 ambapo makazi yangu yalikuwa hayatabiriki kwani siku...

 

11 years ago

Michuzi

MRISHO MPOTO AZIDI KUPASUA ANGA NA MJOMBA BAND

 Baada ya "kutoka" kwa wimbo na mashairi ya 'Mjomba' msanii malenga Mrisho Mpoto ameendelea kupata mafanikio siku hadi siku kwa kuweza sasa kumiliki bandi yake aliyoipa jina la Mjomba Band, akiajiri vijana zaidi ya 10 na kuendeleza libeneke kwa nguvu zake zote. Aghalabu Mpoto na bendi yake utakuta wamealikwa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kutoa burudani. Hakika yeye ni mfano wa kuigwa. pichani  Mpoto akiwa na bendi yake jukwaani.  Mrisho Mpoto akighani mashairi...

 

10 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATOA LA MOYONI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

Mwanamuziki Mrisho Mpoto amempongeza msanii Diamond Platnumz kwa kupata tuzo tatu za Channel O nchini Afrika Kusini.

 

11 years ago

Michuzi

Kabaka atembelea sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.  Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto, (Katikati), akionyesha kadi mpya ya uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuuwa Mfuko huo, Sdam Mayingu, (R), kwenye maqonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Mrisho Mpoto ft. Felly Kano — Njoo Uchukue

Huu mi wimbo mpya kutoka kwa Mrisho Mpoto akimshirikisha Felly Kano wimbo unaitwa “Njoo Uchukue”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani