Wimbo wa Alikiba na Sauti Sol upo njiani kuachiwa
Alikiba na Sauti Sol wamewapa mzuka mashabiki wao kuhusu collabo yao waliyoifanya hivi karibuni. Wote kwa pamoja wametumia akaunti zao za Instagram ‘kutease’ collabo yao iliyofanyika jijini Nairobi Kenya hivi karibuni. Sauti Sol wamepost picha hiyo na kuandika: Kazi ipo. King Kiba na Sauti Sol. Muziki wa kiafrika #LiveandDieinAfrika #Kenya #Tanzania.” Jiunge na Bongo5.com sasa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Aug
Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar
MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la muziki la Party in the Park litakalofanyika Jumamosi jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo09 Aug
`Ushindani wa namba ni mkubwa Azam’ Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la m
MCHEZAJI wa Azam FC, Kelvin Friday amesema ushindani wa namba ni mkubwa katika kikosi chake, hivyo anahitaji kuonesha juhudi ili kufanya vizuri na kuingizwa katika kikosi cha kwanza.
9 years ago
Bongo527 Nov
Video: Alikiba na Sauti Sol washoot video ya collabo yao

Wimbo wa Sauti Sol waliomshirikisha Alikiba haupo kwenye album yao ‘Live and Die in Afrika’ lakini huenda video yake ikatoka mapema.
Kiba ameshare kipande kifupi cha video kikiwaonesha wakiwa kwenye chumba kinachoonekana kama sehemu ya kufanyia video.
“It’s Coming @sautisol #KujuaKaziRahaSana #KingKiba,” ameandika.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
9 years ago
Bongo519 Nov
Exclusive: Sauti Sol waeleza kwanini hawajaweka collabo walizorekodi na Alikiba, Vanessa Mdee na Joh Makini kwenye album yao mpya

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wiki hii wametoa cover pamoja na orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yao mpya, ‘Live And Die In Afrika’ itakayozinduliwa kwa vyombo vya habari Ijumaa ya Novemba 20.
Baada ya mimi binafsi kuiona ‘tracklist’ ya album hiyo yenye nyimbo 15, nilipata maswali kuhusu kwanini hawajaweka nyimbo walizowashirikisha wasanii wa Tanzania kwenye album yao.
Katika mahojiano waliyofanya na kipindi cha Mseto cha Radio Citizen na Willy M.Tuva mwezi August, 2015,...
10 years ago
Bongo515 Sep
Sauti Sol waonesha mpango wa kutaka kumshirikisha John Legend kwenye remix ya wimbo wao mpya ‘Isabella ’
9 years ago
Bongo504 Jan
New Video: Sauti Sol – Relax

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya liliumaliza mwaka 2015 likiwa limepeleka sokoni album yao ya tatu, ‘Live and Die in Africa’ ambayo ina mkusanyiko wa hits zao zilizotoka na ambazo hazijatoka. Sauti wanaukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuachia video mpya ya ‘Relax’, wimbo unaopatikana kwenye album hiyo. Itazame hapa
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!