Wivu wawaponza wanawake uongozi
WIVU, majungu na ubinafsi vimetajwa kuwa mambo yanayosababisha wanawake kutochaguana jambo ambalo wametakiwa kubadilika.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Feb
Wanawake 2 wauawa kwa wivu wa mapenzi
WATU watatu wamekufa mkoani Mbeya katika matukio tofauti yakiwemo ya wanawake wawili kuuawa na waume zao kutokana na wivu wa kimapenzi wilayani Chunya.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Djne6x46ODY/Xu8jB7KTDJI/AAAAAAALuzA/alONzZnzPOkZrjfL3IqvZvmQvI0d92moACLcBGAsYHQ/s72-c/National_Electoral_Commission_%2528Tanzania%2529_Logo.png)
SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.
![](https://1.bp.blogspot.com/-Djne6x46ODY/Xu8jB7KTDJI/AAAAAAALuzA/alONzZnzPOkZrjfL3IqvZvmQvI0d92moACLcBGAsYHQ/s200/National_Electoral_Commission_%2528Tanzania%2529_Logo.png)
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...
11 years ago
Habarileo29 Jun
Ukaidi wawaponza wabunge wa CUF
WABUNGE watatu kati ya 14 wa Chama cha wananchi (CUF), walioomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza Kuu la chama hicho wamekosa nafasi hiyo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukaidi kutekeleza wajibu wa kuchangia chama hicho kama mkataba wao unavyotaka.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Wanawake gombeeni nafasi za uongozi
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Wanawake na uongozi Afrika, duniani
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wanawake watakiwa kuwania uongozi majimboni
CHAMA cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kimewakata wanawake wenzao kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali badala ya kusubiri nafasi za uteuzi. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Makamu Mwenyekiti wa chama...
10 years ago
Habarileo30 Jul
Samia afurahishwa wanawake kuwania uongozi
MGOMBEA Mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan ameelezea kufurahishwa na juhudi za wanawake Zanzibar kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika majimbo ya uchaguzi na kwamba wameonesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa.