Wizara ya Elimu yazidi kuzibana shule binafsi
WIZARA ya Elimu na Ufundi imesema itazifutia usajili shule zote za serikali au binafsi, zitakazobainika kukaidi agizo la wizara hiyo lililotolewa wiki iliyopita la kuacha kuweka viwango maalumu na tofauti za ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Siasa hatarini kuua elimu shule binafsi
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WE4la1lcw68/UxiPKaoiZAI/AAAAAAACbt0/tpOoRJsyJ8I/s72-c/maabara+ya+komputa+fbayi.jpg)
SHULE BINAFSI NA MCHANGO WAKE WA PEKEE KATIKA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-WE4la1lcw68/UxiPKaoiZAI/AAAAAAACbt0/tpOoRJsyJ8I/s1600/maabara+ya+komputa+fbayi.jpg)
Hiyo imefanya serikali kuchagua wale wenye uelewa wa juu pekeekujiunga na shuleza elimu ya juu, huku wale ambao pengine kwa bahatimbaya wamekwama kufikia alama zilizowekwa na serikali, wakiokolewa nashule binafsi.
Hii imesaidia idadi kubwa ya watoto nchini kupata elimu ya sekondaritofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wengi waliokuwa...
11 years ago
Habarileo21 Feb
Ofisi ya takwimu kuzibana wizara
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imewataka wanasiasa nchini, kutumia takwimu sahihi kutoka ofisi hiyo katika kufanya maamuzi. Ofisi hiyo imesema moja ya changamoto inayoikabili ni wanasiasa kutokwenda kutafuta takwimu hivyo kufanya maamuzi bila kuwa na taarifa na takwimu sahihi.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s72-c/unnamed+(16).jpg)
WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013
![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s1600/unnamed+(16).jpg)
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Wamiliki shule binafsi wafukuzana
Na Samwel Mwanga, Dar es Salaam
UMOJA wa Wamiliki na Mameneja wa Taasisi Binafsi za Elimu Tanzania (Tamongsco) umetangaza kumfukuza kazi Katibu Mkuu wake Benjamin Nkoya akidaiwa kukosa sifa ya kushika wadhifa huo.
Kwa mujibu wa barua ya Oktoba 20, mwaka huu iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Tamongsco Kanda ya Dar es Salaam, Kachwamba Aboubakar, licha ya Nkoya kuwa kiongozi wa taasisi hiyo kwa muda mrefu, lakini hajawahi kulipa ada ya uanachama kwa miaka mitano kinyume cha katiba yao ibara ya...
9 years ago
Habarileo16 Nov
Ada elekezi shule binafsi Januari
ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Serikali kuendeleza ushirikiano na shule binafsi
SERIKALI imeahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na wamiliki wa shule binafsi wanaoonyesha nia ya wazi kuisaidia kutoa elimu bora kwa Watanzania. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni...