Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZKID ALIVYOPAGAWISHA DAR

Wizkid akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo. Akizidi kuwarusha mashabiki. Diamond Platnumz naye akinogesha onyesho hilo. ...Akinengua na madansa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WIZZ KID ALIVYOPAGAWISHA DAR

Wizz Kid akikonga nyoyo za wapenda burudani waliofurika kwenye viwanja vya Leaders. Akizidi kuwarusha. Diamond Platinumz naye akinogesha onyesho hilo. …

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid kutumbuiza Dar mwezi huu

Msanii wa Nigeria, Wizkid anatarajia kuja Tanzania kwa mara ya kwanza kutoa burudani October 31 kwenye tamasha la ‘Wizkid in Dar.’ Msanii huyo wa Ojuelegba, analetwa na kampuni ya King Solomon Entertainment ikishirikiana na East Africa Radio. #HABARI Msanii mkali toka Nigeria WIZKID @wizkidayo anatarajiwa kuwasha moto ndani ya jiji la Dar oktoba 31 pic.twitter.com/8Rq5KRoO31 […]

 

9 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: WIZKID LIVE IN DAR

MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid ametua nchini usiku huu tayari kwa onyesho lake litakalofanyika hapo baadaye kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Bongo5

Mahaba ya Wana Dar yamfanya Wizkid aahidi show ya bure, lakini…

20151101012213Mapokezi na mapenzi aliyoyapata Wizkid jijini Dar es Salaam yamemfanye avunje safari yake leo kurudi Lagos, na kuahidi show ya bure Jumapili hii. Wizkid alioneshwa kushangazwa na shangwe za mashabiki hao, hali iliyofanya afanye show kwa muda mrefu zaidi. Alisema hakuwahi kukutana na mashabibi wenye upendo kuwazidi Watanzania. “Ilikuwa niondoke lakini sitaondaka na kesho natafuta […]

 

9 years ago

GPL

WIZKID ATUA DAR, TAYARI KWA SHOO YAKE LEADERS LEO

Wizkid baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) usiku huu. Wizkid akisindikizwa na walinzi mara baada ya kuwasili Dar usiku huu. Warembo wakisubiri kumpokea Wizkid. Wizkid akiongea na…

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani