WizKid azawadia mashabiki wake mil 11
Wiz Kid akizungumza kabla ya kugawa zawadi ya pesa kwa mashabiki
Kijana aliyepanda jukwaani kuimba nyimbo za Wizzy.
STAA wa Ngoma ya Ojuelegba kutoka Nigeria, Wizkid jana Desemba 29, ametoa zawadi ya pesa taslim Naira milioni 1 (sawa na Tsh. mil 10.9) kwa mashabiki wake alifanya shoo yake ya nguvu ya Industry Night kwenye Ukumbi ujulikanao kama Oriental Hotel huko Lagos Nigeria. Shoo iliyojaza na kuwavutia mashabiki kwa aina yake.
Kijana akiimba moja ya nyimbo za Wizzy
Siku chache kabla ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Nov
Amini awatoa wasiwasi mashabiki wake juu ya ukimya wake
![Amini](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/07/Amini-300x194.jpg)
Amini amewaondoa wasiwasi mashabiki wake kuhusu ukimya wake na kudai kuwa mpaka sasa ana nyimbo tano tayari kwaajili ya mashabiki wake.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo ya EA Radio kuwa alikuwa kimya ili ahakikishe ana nyimbo zake tano mkononi.
“Nilitaka niwe na nyimbo zangu tano mkononi ndio nianze kuachia nyimbo,” amesema. “Kwa sababu nataka kuandaa vitu vizuri ambavyo vikitoka vitafanya vizuri kwa sababu naweza kuchelewa na nikatoa nyimbo na ikafanya vizuri tu. Sina...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/diamond-pic-2.jpg)
DIAMOND AFIKISHA MASHABIKI MIL. 1 INSTAGRAM
9 years ago
Bongo503 Nov
Baada ya kuonesha kumkubali Wizkid, Alicia Keys kumshirikisha kwenye wimbo wake
![Alicia n Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Alicia-n-Wizkid-94x94.jpg)
10 years ago
VijimamboSUPER D AZAWADIA BONDIA LULU KAYAGE VIFAA
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Faiza awachanganya mashabiki wake
NA MWANDISHI WETU
MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.
Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.
“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.
Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii...
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Corithians yawaenzi mashabiki wake
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZHwlIMnY51JMXRI-n541eBO5lUaKHdCETfvoHaSU9pnCG-KKTVYlwrS2KlGaH29jwNJ3J2eVvnv5xZiNcRPCBg0*zuFFGKRK/stamina.jpg?width=650)
STAMINA AWAZAWADIA MASHABIKI WAKE
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Rihanna Awatega Mashabiki Wake
Rihanna
DIVA wa muziki wa Pop, Rihanna ameendeleza kuwatega mashabiki wake kwa kushirikiana na Kampuni ya Sumsung baada ya kuachia vipande vingine vya video alivyoviita ANTIdiaRY ambapo ameachia chumba namba tano.
Katika chumba hicho cha tano, Rihanna anaoenekana akiwa ndani ya jakuzi akioga kisha anainamisha kichwa chini na kuinuka na baada ya hapo kupitia mlango wa vioo wa bafuni hapo anaonekana mtoto mwenye taji kichwani aliyetumika katika albamu mpya.
Rihanna aliamua kufanya hivyo kwa...