Wolper Aamsha Simanzi kwa Mashabiki Wake!!!
Kila mtu ana haki na uhuru wa kuandika au kuweka chochote kile anachojisikia kwenye akaunti zake za kwenye mitandao ya kijamii “social networks” ilimradi asivunje sheria za mitandao hiyo.Lakini uhuru na haki hiyo kwa watu mashughuri hali huwa tofauti kabisa unabisha?? Muulize Davido.
Turudi Kwenye Mada
Leo mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper” kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM aliweka picha hiyo hapo juu ya filamu ya NDOA YANGU ambayo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia” ..
“Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga...
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Amani atoa zawadi kwa mashabiki wake
NAIROBI, Kenya
STAA wa muziki nchini Kenya, Cecilia Wairimu ‘Amani’, ametoa zawadi ya video yake mpya ya ‘Heart breaker’ kwa mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu.
Msanii huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu kiasi cha kudhaniwa ameachana na muziki. Wimbo huo uliachiwa mwezi uliopita na video yake imetoka juzi,
“Najua mashabiki wangu walivunjika moyo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo, lakini kwa sasa watakuwa na furaha kutokana na video hiyo mpya, kikubwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uz7hKnDTrrQ/VKvgkdOzzvI/AAAAAAAAmGI/9Fag14DeEO0/s72-c/watoto%2Bwa%2Bali%2Bkiba.jpg)
Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki
![](http://1.bp.blogspot.com/-uz7hKnDTrrQ/VKvgkdOzzvI/AAAAAAAAmGI/9Fag14DeEO0/s640/watoto%2Bwa%2Bali%2Bkiba.jpg)
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Flavour atoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki wake
Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Mr Flavour.
MWIMBAJI maarufu wa Nigeria, Flavour Na’abalia, ametoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki na wapenzi wake.
Mwimbaji huyo aliyetamba na kibao cha ‘Golibe’ ambaye anasemekana kuwa katika ‘mahaba niue’ na mwimbaji maarufu wa kike wa Nigeria, Chidimma Ekile, ametoa kadi hizo zenye picha yake ambazo zinamwonyesha akiwa na taswira ya kuvutia.
Katika picha hiyo, Flavour anaonyesha mwili wake wa kuvutia, tatuu kibao na akiwa kifua...
10 years ago
Bongo525 Aug
Mirror aahidi ‘bonge la surprise kwa mashabiki wake August 30
10 years ago
CloudsFM16 Jan
ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.
11 years ago
GPLJAHAZI YAONYESHA ‘UBABE’ WAKE DAR LIVE KWA MASHABIKI