yale yaleeeeee - waziri magufuli anapotafutwa ubaya...
![](http://1.bp.blogspot.com/-xriZCSzSJiE/U6MoyfSGo2I/AAAAAAAFrzw/y4QXnjtmNBo/s72-c/a9148a8bf1293e7ea1d6c2062cdc4b2a.jpg)
Semi-Trela likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea kwa uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam leo. Haikuweza kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani au la. Hakika Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli ana kazi ya ziada kuhakikisha uzembe kama huu hautokei na haujirudii.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNRTwwxsuQlCpe2D0ANFsRsDd3Ap37LJjZ1PUIYQBrWCyv*QY*q0NQ93n*NuLb05LxGkrrLMyHZJEkJ7gYIHlPqM/ajali1.jpg?width=650)
YALE YALE: WAZIRI MAGUFULI ANAPOTAFUTWA UBAYA....
11 years ago
MichuziYALE YALEEEEEE.......
Leo katika pita pita zangu,nilibahatika kupita Barabara ya Nyerere mbele ya Mataa ya Tazara,nililikuta Gari hili lililazimishwa kugeuzwa katika sehemu ambayo si salama na wala hairuhusu kufanyika hivyo,kwani pia gari hilo lilikuwa linakanyaga sehemu ya baraza la kati lilalotenganisha upande mmoja na mwingine wa barabara.
Nilimshangazwa sana na yule Jamaa ambaye inaonekana dhahiri kuwa aliona uvivu au ugumu wa kwenda kwenye kona inayomhusu ili akate kulia na ageuze Lori...
11 years ago
MichuziYale yaleeeeee: Eh, wazee wa chuma chakavu mtatuulia magari jamani....
10 years ago
Michuzi10 Dec
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Octopizzo: Sitajibu ubaya kwa ubaya
MSANII wa Kenya, Octopizzo amesema hatorekodi wimbo wa kuponda wabaya wake kwa kuwa kuendeleza ubaya kwa ubaya ni kupoteza muda bure.
Mwana hip hop huyo wa Kenya alikuwa katika majibizano makali na wasanii wenzake wa hip hop nchini humo; King Kaka, Jones, Khaligraph na Juliani.
Katika mahojiano na redio USIU ya nchini humo, alisema anapotaka kusaka mkwanja ataendelea kuusaka na hatotumia muda wake kujibizana.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/xS2qkaIBQjU/default.jpg)
11 years ago
Michuzi09 Apr
10 years ago
Michuzi23 Dec
9 years ago
Mwananchi01 Oct
MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli