Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YALIYOJIRI 2015: Kivumbi CCM kati ya 42 anatakiwa mmoja

Julai 1 Ni hatua ambayo itasababisha kivumbi na jasho kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Machache kati ya mengi yaliyojiri michezoni 2013

WAKATI tukiupa mkono wa kwaheri mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014, tasnia ya michezo inayo mengi ya huzuni na furaha yaliyotokea tangu tulipoianza Januari hadi kufikia leo yanayoweza...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MECHI KATI YA SIMBA NA MGAMBO SHOOTING

 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Jacob Odongo kutoka Mkoa wa Mara baada ya kufunga 'hat trick' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mgambo Shooting mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.(Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru Chanache katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0.

 

10 years ago

Mwananchi

Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM

Hiki ni kivumbi. Kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu: Urais CCM, Ukawa ni kivumbi

Dar es Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema uchaguzi wa Rais ajaye utakuwa na ushindani mkubwa ndani na nje ya CCM, huku akibainisha kuwa haogopi mtu kati ya wote wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro hicho, bali anawaheshimu.

 

10 years ago

Mtanzania

Kivumbi cha CCM Majimbo matano leo

Patricia Kimelemeta na Esther Mnyika

UPIGAJI wa kura za maoni zinazorudiwa katika majimbo matano leo nchini katika Chama Cha Mapinduzi (CCM)unatarajiwa kuwa na mvutano mkubwa.

Majimbo yanayorudia uchaguzi na mikoa yake kwenye mabano ni Busega (Simiyu), Kilolo (Iringa), Rufiji (Pwani), Makete(Njombe)na Ukonga(Dar es Salaam).

Kamati Kuu ya CCM iliamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini rafu na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi wakati wa kura za maoni ambapo pia matokeo yake yanapaswa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kivumbi Miss Lake Zone kutimka CCM Kirumba leo

SHINDANO la Miss Lake Zone 2014, leo linakwenda kufikia tamati katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa kwa warembo 18 kujimwaga jukwaani kuwania taji la kinyang’anyiro hicho kilichovuta hisia za...

 

9 years ago

Mwananchi

YALIYOJIRI 2015: Jakaya Kikwete abadili mawaziri 13

Januari 2015. Ilianza na kiporo cha matukio mengi ya 2014, yakiwamo ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa, mchakato wa Katiba mpya na kashfa ya escrow ambayo yalitikisa nchi na haikuwa ajabu wakati Rais alipotangaza Baraza la Mawaziri lililokuwa na mabadiliko 13 ambayo yaliwaweka nje makada watatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani