Yanga Bingwa 2014/2015
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga jana iliivua rasmi ubingwa timu ya Azam, baada ya kuichapa Polisi Morogoro mabao 4-1, katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kufikisha pointi 55, ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote, hivyo kuwa mabingwa wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2014/2015.
Ubingwa huo ni wa 25 kwa Yanga tangu kuanzishwa kwa michuano ya Ligi Kuu, huku ikiwaacha watani wao wa jadi, Simba waliochukua ubingwa huo mara 18,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
YANGA BINGWA LIGI KUU YA VODACOM 2014/2015
10 years ago
Michuzi
YANGA BINGWA 2015,YAINYUKA POLISI MORO 4-1




10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Yanga mabingwa wapya 2014/2015 Tanzania
10 years ago
Michuzi
YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014 - 2015

Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.

Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter...
10 years ago
Vijimambo
YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.

10 years ago
GPL
Yanga bingwa 80%
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Yanga SC ‘bingwa’
10 years ago
Habarileo05 Nov
Pluijm: Yanga bingwa
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.