Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga SC ‘bingwa’

Hakuna shaka, taji la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu linarudi mitaa ya Twiga na Jangwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Yanga bingwa 80%

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli. John Joseph, Dar es Salaam
BAADA ya kipigo cha mabao 8-0 ambacho timu yake ilikipata katika mechi ya Ligi Kuu Bara, juzi, Kocha wa Coastal Union ambaye anasifika kwa kuwa na maneno ya ‘shombo’ alikuwa mpole na kutamka: “Nilijua tutafungwa lakini si kwa idadi hii ya mabao, Yanga wapo vizuri ndiyo maana hata wameifunga timu ya nje bao tano…” Kauli ya Julio...

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm: Yanga bingwa

KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Bingwa ni Yanga au Azam'

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajiwa kuanza Jumamosi hii, wachezaji wa zamani wa Tanzania wamesema ubingwa wa msimu huu ni Yanga au Azam, huku Simba ikipewa nafasi ya tatu.

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga Bingwa 2014/2015

MASHABIKI YANGA (2)NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga jana iliivua rasmi ubingwa timu ya Azam, baada ya kuichapa Polisi Morogoro mabao 4-1, katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kufikisha pointi 55, ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote, hivyo kuwa mabingwa wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2014/2015.
Ubingwa huo ni wa 25 kwa Yanga tangu kuanzishwa kwa michuano ya Ligi Kuu, huku ikiwaacha watani wao wa jadi, Simba waliochukua ubingwa huo mara 18,...

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 180 Yanga SC bingwa

Dar es Salaam. Yanga inasubiri dakika 180 ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya jana kuifunga Stand United ya Shinyanga kwa mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga ni bingwa Tanzania Bara

Klabu ya Yanga nchini Tanzania imekata mzizi wa fitina baada ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa mwaka 2014/2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 50, Yanga bingwa mara 25

Yanga imenyakuwa ubingwa wa 25 katika msimu ambao Ligi Kuu Tanzania Bara inatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake baada ya kuichapa Polisi Morogoro kwa mabao 4-1 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Mayanja: Bingwa msimu huu ni Yanga au Azam

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amezitaja timu za Azam FC na Yanga kuwa ndizo pekee zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu huku akizipa nafasi finyu timu za Simba na Mtibwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani