Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA INAVYOJIWINDA DHIDI YA WAARABU WA TUNISIA

Kocha Pluijm (mwenye fulana ya njano) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake. Wachezaji wakijiandaa kupiga mashuti. Kocha Pluijm akimuangalia Haruna Niyonzima anavyofuata maelekezo aliyompa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Yanga SC yawaotea Waarabu

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli. KOCHA wa Yanga, Hans van Der Pluijm, jeuri sana, kwani amefanya mazoezi mara mbili na kikosi chake kisha akawasisitizia wachezaji wake kwamba, wote lazima wakabe kisawasawa kuanzia mwanzo hadi mwisho katika mchezo wao dhidi ya Etoile du Sahel leo Jumamosi usiku. Yanga ipo jijini hapa tangu juzi kujiandaa na mchezo wake wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Etoile du Sahel...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga kuwasikilizia Waarabu Bagamoyo

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wanatarajiwa kuwasili nchini leo kutoka visiwani Comoro na watakwenda kujichimbia kambini Bagamoyo mkoani Pwani. Yanga juzi ilifanikiwa kusonga mbele baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga jiandaeni mapema, Waarabu wepesi tu

Kati ya Aprili 17, 18 na 19, 2015, wawakilishi pekee wa Tanzania, katika michuano ya klabu Afrika, Kombe la Shirikisho, Yanga itakuwa katika harakati za kuwania heshima ya ubingwa kwa klabu Afrika.

 

10 years ago

GPL

Okwi awapa Yanga mambo matatu Waarabu wafe

Shambuliaji hatari wa Simba, Emmanuel Okwi. Johnson James, Mwanza
MSHAMBULIAJI hatari wa Simba, Emmanuel Okwi, amewapongeza wapinzani wake wakubwa, Yanga, baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini pia amewapa mambo matatu ili wawang’oe Waarabu. Yanga kwa sasa inatarajiwa kuvaana na Etoile du Sahel ya Tunisia kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora baada ya kuitupa nje Platinum ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia yatangaza vita dhidi ya ugaidi

Rais wa Tunisia, Beji Caib Essebsi, amesema nchi yake imo vitani na ugaidi baada ya watu waliojihami kwa bunduki kuwaua watalii

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yatuma salamu Tunisia

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Yanga SC, jana waliendeleza wimbi la ushindi kwenye mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), baada ya kuifunga Coastal Union mabao 8-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Matokeo hayo yameifanya Yanga kufikisha jumla ya pointi 43 na kuendelea kuongoza katika msimamo wa Ligi, wakiwaacha wapinzani wao, Azam, wenye pointi 36.
Mabao ya Yanga jana yalifungwa na Amis Tambwe (dk 9,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaifuata Etoile du Sahel Tunisia

Yanga ya Tanzania imeondoka Dar es Salaam kuelekea Tunisia kwa ajili ya mechi yao ya marudiano na Etoile du Sahel ,Jumamosi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani