Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, KMKM hapatoshi

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga na wale wa Zanzibar KMKM wanakutana leo katika mchezo muhimu wa michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa.

Mchezo huu ni muhimu, kwasababu mshindi ataungana na Gor Mahia ya Kenya, Khartoum ya Sudan ambao tayari wamejihakikishia kuingia robo fainali katika kundi A baada ya kila mmoja kujipatia ushindi katika michezo ya awali.

Yanga na KMKM wao wana pointi tatu kila mmoja baada ya kushinda michezo moja...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yaifyatua KMKM 3-2

MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga, jana waliwachapa maafande wa KMKM ya Zanzibar mabao 3-2 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Yanga walioanza mchezo...

 

10 years ago

TheCitizen

Yanga net KMKM hitman

The reigning Mainland champions, Young Africans, have completed the signing of KMKM striker Mateo Anthony Simon.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAITANDIKA KMKM YA ZANZIBAR 1-0

 Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa KMKM ya Zanzibar, Musa Said katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa KMKM ya Zanzibar, Musa Said. Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akjimtoka beki wa KMKM, Kassim Abdulkadir.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Mwananchi

KMKM kucheza na Yanga, Simba

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja atashuka uwanjani kwa mara ya kwanza kuikabili timu ya KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bushiri avutiwa kiwango KMKM vs Yanga

KOCHA wa mabingwa wa soka visiwani Zanzibar, KMKM, Ally Bushiri, amesema ameridhishwa na kiwango cha timu yake katika mechi ya juzi dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

KOMBE LA KAGAME: YANGA YAIFUNGA KMKM 2-0

 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-0. Deus Kaseke akiwatoka wachezaji wa KMKM. Golikipa wa timu ya KMKM ya Zanzibar, Nassor Abdulla Nassor akiokoa moja ya hatari langoni mwake wakati timu yake ilipopambana na Yanga katika mchezo wa Kombe la Kagame.Donald Ngoma (kulia) akiwania na beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis.Mashabiki wa Yanga...

 

10 years ago

Mwananchi

Udugu kando, vita Yanga, KMKM

Afe kipa, afe beki, ushindi lazima upatikane leo. Ndivyo pengine inavyosema Yanga inapoikabili KMKM ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ikihitaji ushindi kwa hali yoyote ili kucheza robo fainali.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Mtibwa hapatoshi

MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo watakuwa na kazi nzito watakapomenyana na Mtibwa Sugar katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kila la heri Yanga, KMKM, Azam, Chuoni

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF), timu za Yanga, KMKM, Azam na Chuoni FC, leo na kesho zitaingia kwenye viwanja tofauti kucheza mechi zao za kwanza za mashindano hayo katika hatua ya awali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani