Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA MOTO CHINI YA VUNA POINT 6 KUTOKA KWA UGENINI SIMBA MDEBWEDO

DK 18 Msuva anaruka juu kuiwahi pasi nzuri ya Niyonzima na kufunga bao safi la kichwa....Dk 59, Ngassa anampiga chenga kipa Burhani aliyejaribu kumpiga chenga yeye na kuandika bao la pili kwa Yanga kwa ufundi kabisa...Dk 68, Peter Mapunda anaruka na kufunga bao zuri kwa kichwa kuwahi krisi nzuri ya Felix.Kona safi iliyochongwa na Niyonzima, inatua kichwani mwa Tambwe anafunga bonge la bao. Hadi mwisho wa mchezo Yanga 3 Mbeya City 1. Kutoka Shinyanga Simba wapigwa tobo moja tu bila majibu.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Yanga moto chini

TIMU ya Yanga chini ya Kocha wake Mbrazil, Marcio Maximo, jana walivuna pointi tatu muhimu katika mbio za Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kuwafunga JKT Ruvu mabao 2-1. Kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yapaa, Simba mdebwedo

>Mgambo Shooting imeiduwaza Simba kwa kuichapa bao 1-0 mjini Tanga, huku Mbeya City wakirudi nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu bara baada ya kuichapa Mtibwa Sugar 2-1 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

9 years ago

Vijimambo

SIMBA YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 2- 0 KUTOKA KWA YANGA

Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia na Kelvin Yondan (kulia) baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia goriMshambuliaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kushoto) akitafuta...

 

11 years ago

Michuzi

ANGALIZO TOKA TFF - KIINGILIO CHA CHINI YANGA vs SIMBA NI 7,000/-


Taarifa yetu tuliyotuma hivi punde ilionesha kiingilio cha chini mechi ya Yanga na Simba ni sh. 5,000.
 Usahihi ni kuwa kiingilio hicho ni sh. 7,000 kama kinavyooneshwa kwenye tiketi.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAGEUZWA KINCHENCHEDE NA MBEYA CITY NYUMBANI NA UGENINI.


wachezaji wa mbeya city wakishangilia ushindi dhidi ya simba 2-0 leo mbeya katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika mbeya leo Timu ya Azam imeshinda leo.

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA MADEREVA NA ABIRIA LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANIA

  Maofisa wa Jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani pamoja na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(wapili toka kushoto)wakimshuhudia dereva Frank Masawe wa basi lenye Namba za usajili T 798 DCT linalofanya safari za mikoa ya Dar es Salaam na Mtwara akisoma karatasi yenye majibu baada ya kupimwa kilevi,wakati wa zoezi lilioendeshwa na Jeshi la polisi kitengo hicho kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia kampeni ya”Wait to send”inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA

Mwamuzi wa Mpambano wa Masumbwi uliowakutanisha mabondia Mohamed Matumla (Tanzania) na Wang Xin Hua (China) katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usiku huu,akiwa amemnyanyua mkono Bondia Mohamed Matumla baada ya kumchapa kwa Point bondia mwenzake kutoka nchini China katika mpambano wa raundi 10 wa kuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi Duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na...

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani