Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga moto chini

TIMU ya Yanga chini ya Kocha wake Mbrazil, Marcio Maximo, jana walivuna pointi tatu muhimu katika mbio za Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kuwafunga JKT Ruvu mabao 2-1. Kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YANGA MOTO CHINI YA VUNA POINT 6 KUTOKA KWA UGENINI SIMBA MDEBWEDO

DK 18 Msuva anaruka juu kuiwahi pasi nzuri ya Niyonzima na kufunga bao safi la kichwa....Dk 59, Ngassa anampiga chenga kipa Burhani aliyejaribu kumpiga chenga yeye na kuandika bao la pili kwa Yanga kwa ufundi kabisa...Dk 68, Peter Mapunda anaruka na kufunga bao zuri kwa kichwa kuwahi krisi nzuri ya Felix.Kona safi iliyochongwa na Niyonzima, inatua kichwani mwa Tambwe anafunga bonge la bao. Hadi mwisho wa mchezo Yanga 3 Mbeya City 1. Kutoka Shinyanga Simba wapigwa tobo moja tu bila majibu.

 

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

10 years ago

Michuzi

SHINDANO LA DANCE 100% LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANI

 Wasanii wa Kundi la Quality Boys kutoka Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi  wakati wa usaili wa tatu wa shindano la Dance 100% 2015 uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders  Clup Kinondoni  jijini  Dar es Salaam.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na   kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. aadhi mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja vya Leaders Club  jijini Dar es Salaam, wakifuatilia usaili wa tatu  wa shindano la  Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA MADEREVA NA ABIRIA LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANIA

  Maofisa wa Jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani pamoja na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(wapili toka kushoto)wakimshuhudia dereva Frank Masawe wa basi lenye Namba za usajili T 798 DCT linalofanya safari za mikoa ya Dar es Salaam na Mtwara akisoma karatasi yenye majibu baada ya kupimwa kilevi,wakati wa zoezi lilioendeshwa na Jeshi la polisi kitengo hicho kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia kampeni ya”Wait to send”inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia...

 

11 years ago

GPL

Yanga yatangaza waliopigwa chini, kisa Marcio Maximo

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo. John Joseph na Wilbert Molandi
IMEFAHAMIKA kuwa ujio wa kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo, umezuia ajira ya makocha 45 walioomba nafasi hiyo kwenye Klabu ya Yanga, lakini pia tayari ameshakabidhiwa majukumu ya kufanya usajili. Maximo raia wa Brazil, yupo katika hatua za mwisho za kumalizana na klabu hiyo ya Jangwani kabla ya kutua jijini Dar es Salaam kuusaini mkataba...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MTANANGE WA YANGA NA AZAM JITIRIRISHE CHINI KIROHO SAFI

Kikosi cha timu ya Azam FCKikosi cha timu ya Yanga.Wachezaji wa timu ya Azam FC wakishangilia goli yao la kwanza dhidi ya Yanga.
Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Tambwe akiipatia timu yake bao la kusawazisha katika mtanange wa muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam .Picha zote na Othman Michuzi.Mfungaji wa goli la kwanza kwa timu ya Yanga,Hamis Tambwe na Mfungaji wa Bao la pili,Simon Msuva wakishangia ushindi wao dhidi ya timu ya Azam katika...

 

11 years ago

Michuzi

Yanga yaendelea kujifua mchangani chini ya Kocha Marcio Maximo

 Wachezaji wa Timu ya Yanga wakiendelea kujifua kwa nguvu zote kwenye Ufukwe wa Bichi ya Barabara ya Ocean Rodi jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi,ikiwa ni katika maandalizi ya mashindano ya ligi kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo Agosti 24 2014.Timu ya Yanga ipo chini ya Kocha aliewahi kuinoa Timu ya Taifa "Taifa Stars" miaka ya nyuma,Kocha Marcio Maximo (wa pili kulia) akiwa na msaidizi wake Leonado Neiva (wa nne kulia) pamoja na Mchezaji wa zamani wa timu...

 

11 years ago

Michuzi

ANGALIZO TOKA TFF - KIINGILIO CHA CHINI YANGA vs SIMBA NI 7,000/-


Taarifa yetu tuliyotuma hivi punde ilionesha kiingilio cha chini mechi ya Yanga na Simba ni sh. 5,000.
 Usahihi ni kuwa kiingilio hicho ni sh. 7,000 kama kinavyooneshwa kwenye tiketi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani