Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA WAICHAPA THIKA YA KENYA SIKU YA JANA TAIFA, DAR

Mshambuliaji wa timu ya Yanga SC, Geilson Santana Santos 'Jaja' ( wa pili kulia) akimtoka beki wa timu ya Thika ya nchini Kenya, Simon Mbugua (wa kwanza kulia) jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki Yanga SC ilishinda 1-0. Jaja akishangilia baada ya kuipatia bao la kuongoza dakika ya 58 kipindi cha pili.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Yanga kuivaa Thika United Taifa leo

Kikosi cha Yanga

Kikosi cha Yanga

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya Yanga leo kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Thika United ya Kenya katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Yanga, iliyoweka kambi visiwani Zanzibar, ilirejea Dar es Salaam baada ya kucheza mechi tatu kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.

Kabla ya kuanza kwa ligi hiyo, Yanga watamenyana na mabingwa watetezi wa ligi hiyo, timu ya Azam FC, katika mchezo wa Ngao ya...

 

11 years ago

GPL

YANGA ILIVYOWANYOA ‘WAJESHI’ WA RUVU JANA TAIFA

Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi. Mshambuliaji wa Yanga Didier Kavumbagu akishangilia goli la pili. Okwi (kushoto) na Hamis Kiiza wakishangilia bao.…

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA

Muonekano wa basi la Dar Express lenye namba za usajili T640 AXL linalofanya safari zake Kati ya Dar na Rombo baada ya kupata ajali jana jioni eneo la Marangu, Mamba mkoani Kilimanjaro .…

 

10 years ago

GPL

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DALADALA SIKU YA JANA, MBAGALA DAR

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi. Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi. Habari zinasema kuwa baada ya ajali...

 

11 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJINI DAR SIKU YA JANA

Mafuriko yaliyojitokeza jana Tegeta picha zote za juu. …

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA YOGA DUNIANI KIMATAIFA ILIYOFANYIKA KATIKA FUKWE ZA KOKOBICHI JIJINI DAR JANA.

 Watui wakifanya mazoezi katika siku ya yoga duniani iliyofanyika katika viwanja vaya kokobichi jijini Dar es Salaam jana.Baadhi ya wananchi wakifurahiya mazoezi yaliyokuwa yakiendelea katika fukwe za kokobichi jijini Dar es Salaam jana.PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani