Yanga yabadili refa mechi vs Simba
Kamati ya Waamuzi nchini imemuondoa refa msaidizi namba moja, Ferdinand Chacha kuchezesha mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba, na nafasi yake sasa inachukuliwa na Samuel Mpenzu kutoka Arusha ambaye atasaidiana na John Kanyenye kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ambao mwamuzi wa kati atakuwa Israel Nkongo.
Hata hivyo, mabadiliko hayo yaliyofanywa na kamati hiyo yalichelewa kufika katika sekretarieti ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), ambayo juzi ilimtangaza Chacha na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBAADA YA KUFUNGWA 2-0 NA MAHASIMU WAO YANGA, SIMBA WAMLALAMIKIA REFA
Mkuu wa habari wa Simba leo jijini Dar es salaamTarehe 26-9-2015 jana jumamosi kulifanyika mechi ya ligi kuu ya vodacom Tanzania bara baina y a klabu yetu ya Simba na timu ya Yanga. Kwenye mchezo huo timu yetu imepoteza mchezo huo kwa kufungwa goli mbili kwa bila.
Tumeanza kuandika hvyo hapo juu kwa maksudi kuonyesha sisi Simba tumeyakubali matokeo hayo ya dakika tisini za mchezo na tutumie nafasi hii kiungwana kabisa kuwapongeza watani wetu wa jadi kwa ushindi huo...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Refa mechi ya Zesco na AS ni Mtanzania
11 years ago
GPLMECHI YA WABUNGE: YANGA 1, SIMBA 1
10 years ago
GPLKIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA 7,000/-
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Simba, Yanga katika mechi za visasi
10 years ago
Vijimambo11 years ago
Mwananchi21 Dec
Vurugu ziepukwe mechi ya Simba, Yanga